Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Polisi wamekiri kuwakamata? Wanakamatwa kwa uchochezi upi?
 
Sisi Watanganyika wasomi wengi wetu ni kama kasuku. Tuna uwezo wa kukariri kilichosemwa tu basi, mambo mwengine ZERO au below average.
 
Heshima mtu anaipoteza mwenyewe kwa matendo yake mwenyewe! Nani aliingia yale makubaliano?
Unaongelea "makubaliano" yepi?

Umeiona hoja iliyopo kwenye huu uzi?
 
Yaani Tz saa zingine tuna fanya mambo ya ajabu kidogo.
Yaani mtu anaweza kua na hoja za maana na muhimu kabisa lakini badala kuziwasilisha kwa umahiri, ufasaha na hekima ili kueleweka, huanza kudhihaki na kukejeli Mihimili ya dollar au viongozi eti ndio ujasiri au uhodari.
Huko ni kukosa hoja, kupoteza muda, thamani na uelekeo wa ya hoja ya Msingi. Zaidi sana ni kuwachanganya Wananchi na kuwapoteza maboya.

Mbaya zaidi vyombo vya dollar vikifanya kazi yake wahusika huwa wadogo kama mbegu ya haradali, hutia huruma kweli kweli na zile hoja za maana huyeyuka na kutokomea kabisa. Mashabiki hutishika na kurud nyuma, kwa sauti ya kinyonge ya keyboard wanaanza ooh sijui #free nani oohh # fulani must be Free etc .....
 
Weka ushahidi wa unayosema. Walimkebehi nani?
 
Keyboard WarriorπŸ˜‚
 
Wewe ni pumbavu, na sioni umuhimu wa kukusoma, Nina kuweka pembeni for now, Tanzania sio mali ya ccm na kutofautiana kiitikadi ni haki ya kila mmoja wetu humu, President Trump alikua yupo right kuhusu hizi pithole country, Tanzania SIO ulaya!!
Tanzania sio Nchi ya kujifunzia kufanya majaribio ya kipumbavu,eti Maandamano nyoooo,katafuteni Kwa kufanyia sio Tanzania stupid.
 
Mlimuona JPM ni shetani mkafikiri kwavile ni mfokaji na mkali basi ni katili mbaya kuwahi kutokea. Sasa mna mpole asiyependa kufoka lakini yatapigwa matukio hadi akili zetu zinyooke.

Haya mambo ni mfumo wenye mizizi mirefu.
πŸ˜€πŸ˜€ Shujaa Magufuli alikuwa Mtu muwazi sana Mungu wa mbinguni amrehemu
 
Awamu hii kina Mama wamerithi mihimili kazi tunayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…