Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Huyu jamaa kweli mtu kazi
Anakutana na songombingo
Nyingi Sana

Ova
 
Mlikuwa mnamchukia bure JPM utawala huu ndio wa kidhalimu hata shetani anaukataa kuwa na usharika nao.

Vitendo vya kutisha wananchi kwa kutumia madaraka waliyopewa na wananchi wenyewe itafikia ukingo wa uvumilivu

Free #Mwabhukusi, Mdude na Mwaisonga without any condition lest spade-a-spade
 
Watu kama huyu wanatakiwa kubinuliwa
 
Mbona wewe hujitokezi kuwa imara? Kamanda muoga acha kuwahadaa wenzako.
 
Halafu CCM sasa haitaki machawa ni waganga njaa , unafiki na majungu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…