Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Huyu jamaa kweli mtu kazi
Anakutana na songombingo
Nyingi Sana

Ova
 
Ndugu Watanzania,

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.

Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
Mlikuwa mnamchukia bure JPM utawala huu ndio wa kidhalimu hata shetani anaukataa kuwa na usharika nao.

Vitendo vya kutisha wananchi kwa kutumia madaraka waliyopewa na wananchi wenyewe itafikia ukingo wa uvumilivu

Free #Mwabhukusi, Mdude na Mwaisonga without any condition lest spade-a-spade
 
Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Watu kama huyu wanatakiwa kubinuliwa
 
Hakuna jipya hapo, Adv Mwabukusi hajakamatwa peke yake, hata Mdude Nyagali, na kamanda Nyaisunga, nao pia wamekamatwa, wote wako kutuo cha polisi, Mikumi, Morogoro.

Hapa tuwekane sawa tu, hayupo yeyote kati ya waliokamatwa ambaye hakujua matokeo ya kile wanachokipigania, wanachokifanya polisi sio kuwatisha, au kuwaogopesha, ni kuwafanya wawe imara zaidi kwenye mapambano.
Mbona wewe hujitokezi kuwa imara? Kamanda muoga acha kuwahadaa wenzako.
 
Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Halafu CCM sasa haitaki machawa ni waganga njaa , unafiki na majungu tu!
 
Back
Top Bottom