Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Mamlaka za vichwa matope huwa ni matope kwa kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
washughukiwe hao wapuuziKuna muda inabidi utulizwe sasa kwa kuendekeza kung'ang'ania vitu visivyowezekana
Wanazidi mno wanashindwa kutulia na familia zaowashughukiwe hao wapuuzi
ni kujipotezea muda tu, watu walio jaa unafki, wiv + majungu na wanaona hayo ndiyo maisha!Hasa kuwapigania watanzania!!,
Mlikuwa mnamchukia bure JPM utawala huu ndio wa kidhalimu hata shetani anaukataa kuwa na usharika nao.Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, watu waliojitambulisha kuwa ni Askari ndio wamewakamata pasipo kutaja kosa lao na wapi wanapelekwa zaidi ya kuambiwa ni Maelekezo kutoka Juu. Pia, vifaa vyao vya mawasiliano (Simu za mkononi) vimechukuliwa.
Sasa na utu kazi wake ipo day watamfanya vibayaHuyu jamaa kweli mtu kazi
Anakutana na songombingo
Nyingi Sana
Ova
Tupige magoti tusaliHabari wanajf
Ni Jambo la kusikitisha kuona udicteta ukirudi Tena Tanzania, nimesiktishwa Sana na hii taarifa ya kukamatwa kwa mdude.
👉👉👉View attachment 2715139View attachment 2715140
Safari hii nitakulisha nguruweKama ni kweli, wamechelewa sana kumkamata.
Tena huyo ni kesi ya uhaini moja kwa moja.
Acha kujificha kwenye kivuli cha wote sogeza pua yako barabarani uone kivumbi.Wote tunapinga kuuzwa kwa bandari za Tanganyika, watukamate wote.
Watu kama huyu wanatakiwa kubinuliwaNi brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Mbona wewe hujitokezi kuwa imara? Kamanda muoga acha kuwahadaa wenzako.Hakuna jipya hapo, Adv Mwabukusi hajakamatwa peke yake, hata Mdude Nyagali, na kamanda Nyaisunga, nao pia wamekamatwa, wote wako kutuo cha polisi, Mikumi, Morogoro.
Hapa tuwekane sawa tu, hayupo yeyote kati ya waliokamatwa ambaye hakujua matokeo ya kile wanachokipigania, wanachokifanya polisi sio kuwatisha, au kuwaogopesha, ni kuwafanya wawe imara zaidi kwenye mapambano.
Ww pigwa denda tuHawa walikua wanakuja dar kuhamasisha mazombi waandamane eti wapendue serekali ya bi mkumbwa
Kiwakute tu kilichowakuta
Masheikh.
Halafu CCM sasa haitaki machawa ni waganga njaa , unafiki na majungu tu!Ni brighter Day bosi. Waache wakapumzishwe. Haiwezekani wanapokea rushwa kuchafua taswira ya rais Dkt Samia na taifa. Ndiyo maana Dkt Magufuli alikuwa hacheki na pimbi, naona Mama Dkt Samia naye sasa ameelewa namna ya kuendesha mfumo. Wawakomeshe kabisa huko waliko, binya sana kende zao ili waseme nani kawapa hela za rushwa
Ndipo muono wako ulipoishia. Sikushangai.Safari hii nitakulisha nguruwe
Lazima nikubatize wwNdipo muono wako ulipoishia. Sikushangai.