Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaendelea kushindia kashata kwa 10yrsHilo sio tusi
Nakula valuu na nyama choma hapaUtaendelea kushindia kashata kwa 10yrs
Endelea kuomba labda jiwe anaweza kupaaaNakula valuu na nyama choma hapa
Hapo mama anakosea.Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja...
Hao wawili ndio wanatishia kumwangusha Mama?😅😅😅Baada ya taarifa iliyotolewa august 11 2023 likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha serikali jeshi limedaiwa kuwakamata watu wawili wanadaiwa kufanya vitendo hivyo...
Mbona kigogo hawamshiki
Hawa watakuwa mfano, Hilo kosa Halima dhamanaBaada ya taarifa iliyotolewa august 11 2023 likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha serikali jeshi limedaiwa kuwakamata watu wawili wanadaiwa kufanya vitendo hivyo...
Tukutane Kisutu, japo mhimili hauna meno ya msumeno.Baada ya taarifa iliyotolewa august 11 2023 likiwaonya wanaofanya uchochezi kwa lengo la kuiangusha serikali jeshi limedaiwa kuwakamata watu wawili wanadaiwa kufanya vitendo hivyo.
Watu hao ni Boniphasi Mabukusi na Saidi Nyangali au Mdude. Na mahojiano zaidi na watuhumiwa hayo yanaendelea
Aidha limesema litaendelea kufuatilia na kuwakamata watuhumiwa zaidi.View attachment 2715543