Unaona ni wachache? 'Moto wa nyika huanza na cheche moja'Hao wawili ndio wanatishia kumwangusha Mama?😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona ni wachache? 'Moto wa nyika huanza na cheche moja'Hao wawili ndio wanatishia kumwangusha Mama?😅😅😅
Mmmh hii sasa ni HatariHii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Amedai kwamba watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je litafanikiwa ?
Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Amedai kwamba watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je litafanikiwa ?
Tutampigania Mwabukusi hadi tone la mwishoNchi ngumu sana hii. Mwabukusi sasa hapa ndo ataujua unafiki wa watanzania.
Watanzania tuna laana ya kuzaliwa.
Oneni hili punguani linalokula ugali wa bure Kwa shemeji ake, linalala sebleni kusikilizia miguno ya Dada ake akiwa anachezea dog styleWatafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
UmerogwaWatafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
Kesho ni jumapili.Wapelekwe mahakamani kesho hiyo hiyo waache uhuni wa kuwashikilia huku wakiendelea kusota mahabusu tu
Tuna jeshi la polisi la hovyo sana
Si aliona mahakama imeja sasa familia yake ndo itapambana.Nchi ngumu sana hii. Mwabukusi sasa hapa ndo ataujua unafiki wa watanzania.
Watanzania tuna laana ya kuzaliwa
Nakazia... au basiYote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.