Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .

Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.

======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .

Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .

Je lengo hili litafanikiwa ?
 
Jeshi la police badilikeni na mfanye kazi kwa mujibu wa viapo vyenu, je kamata yenu ipo above board, haki zao mliwapa wakati wa kuwakamata?,je mnaelewa ni muda gani mnatakiwa kisheria kuwa na suspect kabla hamjampeleka mahakamani?,hope's Mwenyezi Mungu atanipa maisha nije nishuhudie IGP akifanyiwa interview kabla ya kuteuliwa, judiciary yetu ni mfu, CJ yupo kwa masilahi ya politicians na tumbo lake, TIME ni mwamuzi wa HAKI
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .

Amedai kwamba watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .

Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .

Je litafanikiwa ?
Mmmh hii sasa ni Hatari
Wachochozi tena
 
Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
 
Back
Top Bottom