Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Toka hawa watu kushikwa hata JF waongea hovyo wamepunguwa, labdasasa tutaanza kuongea siasa kisiasa. Kwa hoja, siyo kwa viroja.
 
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.

Hebu waisome hii
dc031e9fee084abe8c8d88b3d36a17cf.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka hawa watu kushikwa hata JF waongea hovyo wamepunguwa, labdasasa tutaanza kuongea siasa kisiasa. Kwa hoja, siyo kwa viroja.
Wewe bimkubwa ujue ni laana kufurahia mateso ya mwanadamu mwenzako.
 
Waache wakapate wanavyovitaka kwa mnyapara.Wakitoka akili zitwakaa sawa.
Mkuu rekebisha lugha maana inaonyesha unafurahia mwanadamu mwenzako kukamatwa na ujue hata wewe ni mfungwa mtarajiwa
 
mnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!

polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
Mkuu huu ni uchoyo wa ukweli, sikiliza kiapo Chao kwanza mara baada ya kumaliza mafunzo yao then u comment, police sio vitendea kazi za politicians!,tatizo unakua na igp anayekua hand picked na politician, lazima atakua ni mtwana tu,jeshi hili linatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya
 
Kwani wewe ajuza kwanini unapendelea sana kubeza sana dini za wenzako?
Mimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:

Wagalatia 3:
13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
 
Mkuu huu ni uchoyo wa ukweli, sikiliza kiapo Chao kwanza mara baada ya kumaliza mafunzo yao then u comment, police sio vitendea kazi za politicians!,tatizo unakua na igp anayekua hand picked na politician, lazima atakua ni mtwana tu,jeshi hili linatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya
livunjwe na nani na liundwe na nani!

kama ni rais basi mbona huwa analivunja kila anapoteua IGP na makamishina?
Mnawalaumu bure hao polisi ...hao ni kama kulaumu dhana kwenye tendo la kuzini!
mlaumu anaezini lakini msilaumu dhana!
Dhana hizo kwa upande mwingine zinasaidia uzazi wa mpango MWAISAAH
 
Ila yule mdude ni mpuuzi mmoja hivi ana mihemuko sana hata kama ana point lakini shipa la shingo na mitusi akianza hapo utakoma hapo tu ndio anapoharibu kwa kifupi hana staha na wala adabu
 
Mimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:

Wagalatia 3:
13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Uzi huu hauna mshusiano na dini popote.

Wewe unaanza mambo ya udini huu ni ijinga sana.
 
Mdude anapoteza sana muda kwenye harakati za kipuuzi. Hajui fainali uzeeni?
Unazani anategemea kuishi Kwa uchawa kama wewe,,au unazani anasubiri mshahara mwisho wa mwenz kama maskini mjinga wewe .

Mdude kajipanga,anaweza kukulisha wewe na mke wako na ukooo wako mpka mrudi mavumbini...
 
Angalizo..saa inakuja na saa hipo serikali zitalazimisha raia wake kumuabudu shetani,,na yeyote ataekaidi ataitwa mhaini na muasi...

Nyie waoga stay tuned ni suala la mda tu,mtachagua kuiunga mkono hyo serikali ili ushibe na kulala na mke wako ama kuwa muasi.. choice will be yours...
 
Mimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:

Wagalatia 3:
13
Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Wewe unafaa kupigwa dog style, kupigwa mitungi na kulishwa kitimoto rosti bahati mbaya umezeeka
 
Back
Top Bottom