Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Endelea pale nilipoishia mimi kuimba kupokezana.Hapo ndio mwisho wa akili yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea pale nilipoishia mimi kuimba kupokezana.Hapo ndio mwisho wa akili yako?
Sasa unapambanaje kwenye mtandao badala ya kuingia barabarani uikomboe nchi yako?Sina cheo wala sitaki, na wala sio mwanachama wa cdm, bali shabiki kindakindaki wa CDM. Una lingine nikusaidie?
Niko barabarani hadi muda huu. Au unazungumzia barabara ipi boss?Sasa unapambanaje kwenye mtandao badala ya kuingia barabarani uikomboe nchi yako?
Wewe bimkubwa ujue ni laana kufurahia mateso ya mwanadamu mwenzako.Toka hawa watu kushikwa hata JF waongea hovyo wamepunguwa, labdasasa tutaanza kuongea siasa kisiasa. Kwa hoja, siyo kwa viroja.
Kuimba ni kupokezana haswaa maana dunia ni duara na kamwe jua huwa halina mpaka linaangaza pote.Endelea pale nilipoishia mimi kuimba kupokezana.
Hata Yesu mmemfanya laana, siwashangai.Wewe bimkubwa ujue ni laana kufurahia mateso ya mwanadamu mwenzako.
Mkuu rekebisha lugha maana inaonyesha unafurahia mwanadamu mwenzako kukamatwa na ujue hata wewe ni mfungwa mtarajiwaWaache wakapate wanavyovitaka kwa mnyapara.Wakitoka akili zitwakaa sawa.
Kwani wewe ajuza kwanini unapendelea sana kubeza sana dini za wenzako?Hata Yesu mmemfanya laana, siwashangai.
Mkuu huu ni uchoyo wa ukweli, sikiliza kiapo Chao kwanza mara baada ya kumaliza mafunzo yao then u comment, police sio vitendea kazi za politicians!,tatizo unakua na igp anayekua hand picked na politician, lazima atakua ni mtwana tu,jeshi hili linatakiwa kuvunjwa na kuundwa upyamnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!
polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
Mimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:Kwani wewe ajuza kwanini unapendelea sana kubeza sana dini za wenzako?
livunjwe na nani na liundwe na nani!Mkuu huu ni uchoyo wa ukweli, sikiliza kiapo Chao kwanza mara baada ya kumaliza mafunzo yao then u comment, police sio vitendea kazi za politicians!,tatizo unakua na igp anayekua hand picked na politician, lazima atakua ni mtwana tu,jeshi hili linatakiwa kuvunjwa na kuundwa upya
Uzi huu hauna mshusiano na dini popote.Mimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:
Wagalatia 3:
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Unazani anategemea kuishi Kwa uchawa kama wewe,,au unazani anasubiri mshahara mwisho wa mwenz kama maskini mjinga wewe .Mdude anapoteza sana muda kwenye harakati za kipuuzi. Hajui fainali uzeeni?
Wewe unafaa kupigwa dog style, kupigwa mitungi na kulishwa kitimoto rosti bahati mbaya umezeekaMimi kama Muislam siamni hivyo. Siyo maneno yangu hayo, ilaumu biblia:
Wagalatia 3:
13 Kristo alitukomboa katika laana ya torati, kwa kuwa alifanywa laana kwa ajili yetu; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;
Nimekujambisha eenWw pigwa denda tu