Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Proffessionality inataka polisi anapomkamata mtu amjulishe kosa lake analotuhumiwa nalo instantly [emoji108]

Kwa wale maamuma mnasema wataenda kujulia polisi kituoni be informed.
 
Siyo "yakiri", yatangaza.

Kwani walificha wapi na walitangaza mapema kuwa watu wanaochochea na kutaka kufanya uhaini watakamatwa, na wanatutangazia kuwa wawili tayari na wengine wapo njiani kukamatwa. Huko siyo kukiri, huko ni kutangaza.

Usicheze na maneno. Sababu za kushikwa kwao zinajulikana. Kauli za kishenzi walizokuwa wanatowa haziashirii amani hata kidogo.

Tena bahati yao, kama ni USA wanafinywa tu.
Shetani hana rafiki , iko siku zamu yako itafika tu
 
Ukiliwa tigo Unaanza kulalamika pussy wewe
ndomyana amenishauri nisitukane. Upande wetu na sisi tunaamini mh. Mbowe na wenzake wana kesi za kujibu, ndiyo maana Mh. Rais Dkt Samia akaingilia kati kuhakikisha kesi zao zote zinakwisha kisheria. Ndiyo maana tukasema basi kama wameamua kuichafua serikali na kumdhihaki Dkt Samia basi kesi zao zirudishwe.
 
Proffessionality inataka polisi anapomkamata mtu amjulishe kosa lake analotuhumiwa nalo instantly [emoji108]

Kwa wale maamuma mnasema wataenda kujulia polisi kituoni be informed.
Hiyo ndiyo maana ya akili ni nywele
 
Unazani anategemea kuishi Kwa uchawa kama wewe,,au unazani anasubiri mshahara mwisho wa mwenz kama maskini mjinga wewe .

Mdude kajipanga,anaweza kukulisha wewe na mke wako na ukooo wako mpka mrudi mavumbini...
Unazani = unadhani. Nyie ni wauaji. Mnamchochea MDUDE ajiingize kwenye matatizo huku mkijificha nyuma ya keyboard. Pumbavu sana
 
View attachment 2715570

Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi.

Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi na Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP -David Misime imesema wawili hao wamekatwa kwa mahojiano ambayo yanaendelea.

“Jeshi la Polisi kama lilivyo eleza jana tarehe 11 Agosti 2023 linawafuatilia ili liwakamate watuhumiwa walioandaa na kutoa maneno ya uchochezi, kazi hiyo inaendelea kufanyika kwa
mujibu wa sheria.

“Jeshi la Polisi lilifanikiwa kuwakamata maeneo ya Mikumi Mkoani Morogoro majira ya saa nane na nusu usiku tarehe 12 Agosti 2023,” imesema taarifa hiyo.

Hayo yamejiri baada mapema asubuhi leo kuibuka taarifa kukamatwa kwa Mwabukusi na Mdude kuenea katika vyanzo mbalimbali.

Mwabukusi alikuwa mmoja wa wanasheria waliofungua kesi ya kupinga mkataba uliofumgwa kati ya serikali na Dubai.

Kukamatwa kwa Mwabukusi kumekuja muda mfupi baada ya Mkuu wa Jeshi la Polisi kuutangazia ulimwengu, kwamba “kuna njama za kumuangusha Rais wa Jamhuri, Dk. Samia Suluhu Hassan.”
Hata Mwalim Julius Kambarage Nyerere,hakuwachekea watu wanaotaka kuleta vurugu.Wapo ambao alidai nao uhuru,kama kina Bibi Titi,Kambona, Fundikira na wengine wengi.Angewachekea leo tusingekuwa na Tanzania hii,tunayoiona,ambao hao wanaiita Tanganyika.
 
Tumewazoea ao nachaajabu ukiwaita mahakamani kutoa ushaidi ikifika zam yao wanaanza kuomba ruhusa wakanye
Hata Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,hakuwachekea watu wa ovyo walipoleta ujinga,na walikuwa ni wenzake,walidai uhuru pamoja,wengine kina Kambona walikimbia nchi,kina Bibi Titi,Kina Fundikira na wengineo walikiona cha moto.
 
Jeshi la police badilikeni na mfanye kazi kwa mujibu wa viapo vyenu, je kamata yenu ipo above board, haki zao mliwapa wakati wa kuwakamata?,je mnaelewa ni muda gani mnatakiwa kisheria kuwa na suspect kabla hamjampeleka mahakamani?,hope's Mwenyezi Mungu atanipa maisha nije nishuhudie IGP akifanyiwa interview kabla ya kuteuliwa, judiciary yetu ni mfu, CJ yupo kwa masilahi ya politicians na tumbo lake, TIME ni mwamuzi wa HAKI
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,watu wa ovyo hakuwachekea,angewachekea leo tusingekuwa na Tanzania hii unayoiona.Wenzake aliodai nao uhuru,kina Kambona,kina bibi Titi,kina Fundikira,walikiona cha moto.
 
na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?


Jesus is Lord
Tena hawa waliokamatwa washukuru Mungu.Wakati wa Mwalimu Kambarage Nyerere,alikuwa hachekei watu watu ovyo,wanaotaka kuvuruga amani.Kina bibi Titi,kina Kambona,kina Fundikira,chamoto walikiona,na wengine wengi.
 
Mdude anapoteza sana muda kwenye harakati za kipuuzi. Hajui fainali uzeeni?
Huyu ashukuru sasa,lakini wakati wa Mwalimu Nyerere,angeozea jela,Kina Bibi Titi,kina Fundikira ,kina Kambona chamoto walikiona,na wengine wengi.Wafikiri Mwalimu angewachekea hawa,leo tusingekuwa na Tanzania hii.
 
Yaani wawashughulikie kabisa kisheria ili wafungwe. Hapa tunamuomba Dr Samia asitoe msamaha kabisa.
Sana,afuate kanuni za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Hakuwachekea kina bibi Titi,kina Fundikira ,kina Kambona na wengineo,chamoto walikiona.Japo alidai nao uhuru,lakini walipoleta ujinga,hakuwachekea.
 
Sana,afuate kanuni za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Hakuwachekea kina bibi Titi,kina Fundikira ,kina Kambona na wengineo,chamoto walikiona.Japo alidai nao uhuru,lakini walipoleta ujinga,hakuwachekea.
Kabisa ndiyo maana mwanzo mwanzo Dkt Samia alidhani eti Dkt Magufuli alikosea ila sasa kajionea mwenyewe hawa waheshimiwa siyo wa kucheka nao
 
Back
Top Bottom