Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.

Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni upotoshaji na kwamba sio kweli kwamba Rais anaweza kukuondoa kwenye eneo ambalo unalimiliki.

=============================================

Naombeni wenye ujuzi wa sheria mtujuze hapa. Ni kweli Rais anaweza kukuondoa kwenye ardhi yako au ni stori za vijiweni?

Naombeni wenye ujuvi wa sheria mtujuze hapa. Ni kweli Rais anaweza kukuondoa kwenye ardhi yako au ni stori za vijiweni?

View attachment 3177079
mwamba
TLS Kaipeleka Lumumba badala ya kuwa chama cha mawakili
 
RAIS ,ni mdhamini kwakuwa watanzania Milion 60 wote hatujafikisha umri miaka 18....
 
Rais ni Trustee, trustee sio owner, ila anadhamini kwa niaba ya watanzania
 
Kila mtu apewe ardhi yake amiliki na atumie bila ukomo!
 
Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni upotoshaji na kwamba sio kweli kwamba Rais anaweza kukuondoa kwenye eneo ambalo unalimiliki.
Huo ndiyo ukweli. Wakili Mwabukusi anabisha? Anadhani Samia katumia sheria ipi kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro na kuwapeleka Msonera?

Hata unapoishi yeye wakili Mwabukusi, rais anaweza kubadilisha matumizi ya ardhi hiyo na kujenga kituo cha mafuta.
 
mwamba
TLS Kaipeleka Lumumba badala ya kuwa chama cha mawakili
Mbuzi wewe ,kwa vile tu kasema Lissu anafaa leo mnapiga makele,subiri sinadano iwangie ,hakuna msomi mwenye akili timamu anaweza acha kutoa support kwa wakili Lissu .Kilaza wenu mzee Mbowe hana jipya
 
Kisheria rais anaweza kutwaa ardhi kwa manufaa ya umma. Hii ipo chini ya sheria ya utwaaji wa ardhi yaani Land Acquisition Act. Mwenye title deed atalipwa fidia.
 
Wakuu,

Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.

Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni upotoshaji na kwamba sio kweli kwamba Rais anaweza kukuondoa kwenye eneo ambalo unalimiliki.

=============================================

Naombeni wenye ujuzi wa sheria mtujuze hapa. Ni kweli Rais anaweza kukuondoa kwenye ardhi yako au ni stori za vijiweni?

View attachment 3177079
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
 
Rais ni Trustee, trustee sio owner, ila anadhamini kwa niaba ya watanzania
Anakuwa mdhamini hadi lini? Miaka 60+ baada ya uhuru Watanzania waliokabidhiwa uhuru wameisha zeeka na wengine kufariki, kizazi hiki bado kinaaminishwa kwamba Rais ndio mdhamini?? 😲
 
Huo ndiyo ukweli. Wakili Mwabukusi anabisha? Anadhani Samia katumia sheria ipi kuwahamisha wamasai kutoka Ngorongoro na kuwapeleka Msonera?

Hata unapoishi yeye wakili Mwabukusi, rais anaweza kubadilisha matumizi ya ardhi hiyo na kujenga kituo cha mafuta.
Serikali inaweza kuchukua ardhi yako pale tu inapothibitisha kuwa inahitajika kwa manufaa ya umma ( kupitisha barabara n.k.). Haiwezi (kisheria) kukunyang'anya ili impe mtu mwingine. Hivyo haiwezi kumnyang'anya ardhi Mwabukusi ili wampe mtu mwingine ajenge kituo cha mafuta. Sidhani pia kama matumizi ya eneo hilo yanaweza kubadilishwa kutoka makazi kuwa kituo cha mafuta bila kumshirikisha Mwabukusi. Na itakuwa uamuzi wa Mwabukusi kujenga kituo cha mafuta kama atataka. Wanachoweza kufanya ni kusema eneo hilo linahitajika kwa ujenzi wa stendi ya basi, hospitali ya umma n.k. Lakini yote hayo yanaweza kupingwa Mahakamani.

Amandla...
 
Back
Top Bottom