Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.
Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni upotoshaji na kwamba sio kweli kwamba Rais anaweza kukuondoa kwenye eneo ambalo unalimiliki.
=============================================
Naombeni wenye ujuzi wa sheria mtujuze hapa. Ni kweli Rais anaweza kukuondoa kwenye ardhi yako au ni stori za vijiweni?