Wakili Mwabukusi nakukubali sana, ila taniana na Wote lakini usitake Kuwazoea vibaya JWTZ na Usijidanganye ukaja Kujuta

Hebu jijibu mwenyewe, hivi Jeshi liko juu ya sheria?
 
Angalizo:
Ukimpenda GENTAMYCINE naye atakutunuku chochote utakachomwomba,pigia mstari "chochote"
 
Mentality za kikoroni hizi,
USA ina jeshi shupavu na imara na la kutisha kuliko yote duniani, nimefanya kazi kama mkandarasi raia, na vikosi vyenye kambi hapa Afrika, marine Corps, hawa jamaa wana humanity side unaweza ukafikiri, ni manesi!
Wakiwa off duty na kama hawana mission, huwa very friendly na raia,
Wao u deal na mbaya wao tu, hawa wakwetuwakwetu, kila wakati wamekaa kishari shari tu!
Wanatamsni wamlukie mtu wamlalue!
Hivi for crying out loud! Where and why do you get satisfaction beating people!
If not ur a mental case!
Unakuta mijitu Saba mnasurubu raia mmoja kijsna mdogo! Na mnatoka pale mnakenua meno!
HeLa hamna,vimishahsra china ya milioni mbili,wakiendesha vimtumba vya Japan, wanaona wameyapatia maisha
 
Hujawatukana Ila umeongea ukweli mchungu. JW hawana utu na narudia Kwa msisitizo hawana utu. Taasisi iliitwa JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA kwa makusudi kabisa lakini wao wanajiona raia wa daraja la 1. Kijana anakutwa na kijitshirt cha mtumba anapigwa mpaka anavunjwa mkono. Bado tuunge mkono huo ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…