Mentality za kikoroni hizi,
USA ina jeshi shupavu na imara na la kutisha kuliko yote duniani, nimefanya kazi kama mkandarasi raia, na vikosi vyenye kambi hapa Afrika, marine Corps, hawa jamaa wana humanity side unaweza ukafikiri, ni manesi!
Wakiwa off duty na kama hawana mission, huwa very friendly na raia,
Wao u deal na mbaya wao tu, hawa wakwetuwakwetu, kila wakati wamekaa kishari shari tu!
Wanatamsni wamlukie mtu wamlalue!
Hivi for crying out loud! Where and why do you get satisfaction beating people!
If not ur a mental case!
Unakuta mijitu Saba mnasurubu raia mmoja kijsna mdogo! Na mnatoka pale mnakenua meno!
HeLa hamna,vimishahsra china ya milioni mbili,wakiendesha vimtumba vya Japan, wanaona wameyapatia maisha