Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

Wakati wa JPM angepinga nini sasa wakati anachokipinga sasa hakikuwepo, au mnataka na yeye aingie kwenye mkumbo wa kupinga kila kitu kama wale wengine waliotaka tufungiwe ndani kipindi cha corona ili tufe na njaa? Leo hii wanataka mwakani tuwapigie kura kuwachagua, hivi JPM angesikiliza ushauri wao akatufungia tukafa njaa hizo kura wangemumba ngedere?
 
Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala.

Lakini ni Wakili Boniphace Mwabukusi ndiyo maneno yake na haiba yake yana mvuto kuliko mtu yeyote. Mwabukusi ana uwezo wa kuwasilisha mada kwenye hadhara kama Wahubiri wa Kilokole akina Mwamposa/ Gwajima, ana maneno makali kama Mdude na ana uwezo kuchambua sheria kama Lissu.

Swali:
Je, huyu Bwana alikuwa wapi wakati wa Dikteta Magufuli 2015-21? Alipobana kabisa uhuru wa maoni na kukanyaga katiba

Je, kwa huu ubingwa wake, nini ingekuwa hatma yake kipindi cha Magufuli?
Alikuwa katili lakini sio muuza nchi ndio maana jamaa alinyuti
 
Uhuru,uhuru uhuru,watu woote wenye akili hawengeweza kupambana na jpm,kwa sababu jpm alisimama kwa ajiri ya nchi,sio kwa ajiri ya kundi furani au familia yake,jpm alikuwa anaongea zaidi kwa vitendo na sio maneno na brabra,na kwa taarifa yako,mwambukusi ni mshabiki kindakindaki wa magufuli.
 
Kwamba dhalimu hakuwa mwanasiasa, au baada ya kuona haziwezi siasa na siasa hazimtaki, ndio akasema yeye sio mwanasiasa?

Hata hivyo dhalimu hakuwa na historia ya kupambania raslimali za taifa, kwani alisubiri hadi awe rais ndio aanze kupambania raslimali za taifa. Ina maana asingekuwa rais asingekaa apambane raslimali za taifa.
Wewe ninaamini dish lilishayumba siku nyingi,kila picha unayooleta ni mchelemchele,
 
Uhuru,uhuru uhuru,watu woote wenye akili hawengeweza kupambana na jpm,kwa sababu jpm alisimama kwa ajiri ya nchi,sio kwa ajiri ya kundi furani au familia yake,jpm alikuwa anaongea zaidi kwa vitendo na sio maneno na brabra,na kwa taarifa yako,mwambukusi ni mshabiki kindakindaki wa magufuli.
Well said....
 
Kama Mwabukusi ni mshabiki kindakindaki wa magufuri basi hafiki mbali. Hii nchi haitaki vichaa wengine tena baada ya huyo wa Chato kufa mwaka 2021
 
Back
Top Bottom