Wakili Mwabukusi ni Mchanganyiko wa Mdude + Lissu. Je Alikuwa Wapi Wakati wa Hayati Magufuli?

Wakati wa JPM angepinga nini sasa wakati anachokipinga sasa hakikuwepo, au mnataka na yeye aingie kwenye mkumbo wa kupinga kila kitu kama wale wengine waliotaka tufungiwe ndani kipindi cha corona ili tufe na njaa? Leo hii wanataka mwakani tuwapigie kura kuwachagua, hivi JPM angesikiliza ushauri wao akatufungia tukafa njaa hizo kura wangemumba ngedere?
 
Alikuwa katili lakini sio muuza nchi ndio maana jamaa alinyuti
 
Uhuru,uhuru uhuru,watu woote wenye akili hawengeweza kupambana na jpm,kwa sababu jpm alisimama kwa ajiri ya nchi,sio kwa ajiri ya kundi furani au familia yake,jpm alikuwa anaongea zaidi kwa vitendo na sio maneno na brabra,na kwa taarifa yako,mwambukusi ni mshabiki kindakindaki wa magufuli.
 
Wewe ninaamini dish lilishayumba siku nyingi,kila picha unayooleta ni mchelemchele,
 
Well said....
 
Kama Mwabukusi ni mshabiki kindakindaki wa magufuri basi hafiki mbali. Hii nchi haitaki vichaa wengine tena baada ya huyo wa Chato kufa mwaka 2021
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…