Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Duh 🙄HUYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Mkuu ni kweli humjui anayewatuma?Hawa watu wanatumwa na nani ? Au wanajituma wenyewe..
Mkapa alikuwa anamlinda Mzanzibari mwenzenu Salmin Amour, pamoja na ccm yake. Na Watanganyika hatuna maslahi juu ya hayo mauaji yenu.Wakati Mtanganyika Mkappa anaua Wazanzibar ulikuwepo Tanganyika ? Unafikiri Wazanzibar wamesahau ?
Samia anailinda CCM Wanzibar hawana maslahi na hayo mauaji yenuMkapa alikuwa anamlinda Mzanzibari mwenzenu Salmin Amour, pamoja na ccm yake. Na Watanganyika hatuna maslahi juu ya hayo mauaji yenu.
Mbeya ikitolewa amri kwamba aliyemteka Mdude ashughulikiwe kuna viongozi watakimbiaUkiona wasiojulikana wanamtisha Mwabukusi kwa message ujue na wao ule ujumbe wa Mwabukusi umewatisha sana,sana tunasubiri moto uwake
Kwanini mama Samia yupo kimya au kwakua yeye sio mtanganyika mwenzetu?Mkuu ni kweli humjui anayewatuma?
Wengi tu muhimu ni kujitoa fahamununakufa naoWataua wangapi?
Hata Kitima aliambiwa dawa yake inachemka siku 2 mbele wakamshambulia.Huyo Pengo anayeambiwa ajiandae ni nani?
Eti jambazi nae anasalimia mambo vip😀
Hii isiachwe iende bure,tunajua Mwabukusi anajiamini,ila awekewe ulinzi fulani ili safari hawa mashetani wakutane na chumaHata Kitima aliambiwa dawa yake inachemka siku 2 mbele wakamshambulia.
Tunaambiwa uchunguzi unaendelea..pengine labda ni uchuuzi sio uchunguzi wao ndio wanachanganya lugha.View attachment 3330061
Mimi natabiri mwisho wa haya mambo itakuwa mwaka huu na ataangushwa mtu mmoja ambaye watu hawatatarajia.Hii isiachwe iende bure,tunajua Mwabukusi anajiamini,ila awekewe ulinzi fulani ili safari hawa mashetani wakutane na chuma