PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ben Saaneet alilalamika kutishiwa uhai Kwa kuttumiwa jumble kama hizi Tena humu jamvini akabezwa matokeo Yake.

Tusichukulie Kwa wepesi hivi vitisho.

Nyau de adriz
 
Ben Saaneet alilalamika kutishiwa uhai Kwa kuttumiwa jumble kama hizi Tena humu jamvini akabezwa matokeo Yake.

Tusichukulie Kwa wepesi hivi vitisho.

Nyau de adriz
Hata Mdude_Nyagali naye alileta ujumbe wake humu wa kutishww, na akapotezwa kweli. Tunakoelekea nadhani siyo mahali salama. Siku wananchi wakiamua na wenyewe kujitetea, tayari tutakuwa tumeingia kwenye episode nyingine kabisa.
 
Mwabukusi alishaweka wazi kuwa haogopi vitisho
Sasa huyo jambazi,ina maana hakumsikia vizuri Mwabukusi hadi amtishe?
Yeye aende kupambana naye ila aajue tu Mwabukusi watu wanamuombea sana kwa Mungu maombi ya ulinzi na Mungu apigane na watesi wake.
 
mwambukusi, kaa lea wanao, huo mdomo wataupiga kweli, hii kazi waachie vijana wasiokuwa na familia, kufa sio kubadili makazi, hatutaki kuona mkeo akilia hadharani kama umbwa
 
Kwahiyo wewe mpaka leo hii ilikuwa hujui kuwa pesa zinaidhinishwa na serikali ili kuwalipa hawa wauaji?
Pole
Hamna atakachofanyiwa na mtu yeyote
 
Kwani zile Enzi za Sambulio la Lissu, kupoteza kwa Ben Saanane na wingineo, Raisi alikuwa mzanzibari mpya? Alitoa tamko gani?
 
Halafu akishaua anasema kifo ni kifo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…