Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Na hata wale mnaowaita Covid 19, watamaliza muda wao bila shida , wewe mjinga mjinga piga kelele,wenzio wanaishi vzr tu

Unamlaumu nani?. CHADEMA kiliwafukuza wakaenda mahakama kuu, na spika kuwalinda ingawa sio wanachama. Sasa Kama watu wanalindwa na serikali unalaumuje upinzani?.
 
Mnyika jana kashiriki kwenye kikao cha kuandikisha wapiga kura ..kimsingi chama kipo tayari kushiriki uchaguzi huu kwa katiba hii! Walitakiwa kugomea mchakato mzima!
Katika hili namuelewa sana Lissu ni msema kweli

Sio kweli, lilikuwa kikao Cha wadau kuhusu maoni ya kurekebisha muswada wa sheria za uchaguzi. Hiyo haimanishi CHADEMA inashiriki uchaguzi mpaka sheria itambue Time huru.
 
Huyo Mtikila wewe humfahamu tu lakini naye alikuwa mtu wa ovyo sana. Nilifanya kazi naye kwa karibu ,alikuwa anavuta hela kwa CCM kuwashambulia wapinzani. Mfano hai kwenye uchaguzi mdogo wa Tarime baada ya kifo cha Chacha Wangwe,alidakishwa hela na CCM kwenda kuishambulia Chadema kuwa ndiyo wamemuua Chacha lakini watu wa Tarime kwa vile walijua ukweli kuwa ni CCM ndiyo wamemuua ndugu yao wakampopoa mawe Mtikila na wakaichagua tena Chadema.
 
Lissu alisema wazi kuwa wasishiriki uchaguzi wowote bila katiba mpya lakini wangapi wamemuunga mkono?

Mimi namuunga mkono mpaka kesho na hata Mzee Warioba anamuunga mkono.
 
Mwabukusi angeanzisha chama chake cha siasa, halafu wafuasi kama nyie mkamuunga mkono, mtafika mbali

Marekani vyama vikuu 2. Uingereza Hali kadhalika. Nani anataka utitiri wa vyama? Tunabanana humu humu.
 
Mimi binafsi naamini haki inapiganiwa na sio kususiwa hivyo washiriki uchaguzi mpaka kieleweke

Point ni kwamba unavyosusa they don't care kwa hiyo kususa sio suluhisho

Hapana hapa nakataa kabisa. Kususa ni moja wapo ya kujiondoa kwenye lawama.
 

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1725500174590517562?t=KRxBrJX4p-b6o2S50-ANUQ&s=19
 

Tulijua tu mwisho wa siku itakuwa ni kubwaga manyanga!
 
Na kwa maneno yao haya wenda ndo maana hata ayo maandamano hayakwenda vizuri, kwa kauli hizi hata yangeenda vizuri kwa vyama kadhaa kushiriki bado ingeonekaka yeye na watu wake ndo kila kitu

Kweli kabisa mkuu
 
Mnyika jana kashiriki kwenye kikao cha kuandikisha wapiga kura ..kimsingi chama kipo tayari kushiriki uchaguzi huu kwa katiba hii! Walitakiwa kugomea mchakato mzima!
Katika hili namuelewa sana Lissu ni msema kweli
tuwekee hapa huyo Mnyika anafanya hicho...kwahiyo tume imeshaanza kuadika wapiga kura?
 

Wakikuelewa, mrejesho wako tafadhali.
 

Ni haki yao wale bure maana ruzuku wanayoingiza kila mwezi inamezwa na CHADEMA kama mchwa wakati walishasema hawawatambui. Ndipo hapo utakaooona njaa na unafiki wa watu. Tena ni bora wamalize miaka yao yote mitano maana ruzuku wanayoingiza CHADEMA inadakwa kwa haraka sana!!
 
Kama kweli watakubali kushiriki uchaguzi ujao bila katiba mpya,sitokuwa na sababu ya kuwa mwanachama wa upinzani,sitokuwa na sababu ya kwenda kwenye mikutano ya wapinzani kuwasikiliza wala kwenda kupanga foleni kumpigia kura yeyote mwanasiasa yeyote.

Wakishiriki huo ujinga mwaka kesho kwa hizi sheria na katiba hii, basi nitajifuta upinzani rasmi na kusubiria atakayekuja na harakati za akina Prince Johnson wa Liberia kipindi hicho.
 

Shirikini uchaguzi maana kumwachia nguruwe shamba atamaliza mahindi yote na matokeo mtakufa njaa!
 
Mwanaharakati Machachali Wakili Boniface Mwambukusi ameshutumu Vyama vya Upinzani kwamba vinafanya biashara ya udalali wa Demokrasia.

Akitokea mfano amesema akiwa NCCR-Mageuzi Kuna pesa walikuwa wakiletewa Ili wafanye biashara ya siasa ndio maana akaamua kujiondoa kwenye Vyama vya siasa Kwa sababu amesema havina nia ya Kulikomboa Taifa.

Mwambukusi hajawahi kuwa muongo 😁😁

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1725500174590517562?t=zlLI0nqn95oU1S_cRZY-0w&s=19

My Take
Chadema mna la kujibu? Mbowe sio mjinga anajua anachokifanya 🀣🀣🀣🀣🀣

Harafu Lisu na Mbowe watakwambia ukaandamane Ili ivunjwe miguu then wakayamalize na wahusika Kwa kuvuta mpunga wewe inabakiaena ulemavu,Sina ujinga kama huo labda niwe mnufaika πŸ˜†πŸ˜†

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1725503158078546402?t=4ppBF_mG8Rqs51f7Nu8fyQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…