Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Lakini kuna nini cha uongo kasema? Mbona hata Lissu huwa anasema haya hasa kushiriki uchaguzi bila katiba mpya? Je ni wangapi wanakubaliana na Lissu?
 
Lakini kuna nini cha uongo kasema? Mbona hata Lissu huwa anasema haya hasa kushiriki uchaguzi bila katiba mpya? Je ni wangapi wanakubaliana na Lissu?
Katiba mpya wanapigania wanasiasa au wananchi
Kama wananchi wamelala usingizi wa pono ni ngumu sana kupata katiba mpya utawatukana wenzako wote na haitasaidia
 
Wengine tulishastuka kitambo. Siasa tunatumika kama mitaji kwa watu. Wananchi wakifikia hatua hawaamini wanasiasa watakuja kutafuta njia zao zingine kudai maslahi yao.
Siasa ni kazi ambayo hata wewe uko eligible kugombania
Acha kulalamika na majungu changamkia fulsa
 
Lakini kuna nini cha uongo kasema? Mbona hata Lissu huwa anasema haya hasa kushiriki uchaguzi bila katiba mpya? Je ni wangapi wanakubaliana na Lissu?
wapi chadema imesema itashiriki uchaguzi? jiepushe na watu wa hovyo......usiwe kwenye kundi la mtu kutofungu post/thread yako akijua kuna rubbish!

Kuna namna ya kusema uliyonayo moyoni kwa wenzako ambao lengo lenu ni moja..... huyu kumbe mpuuzi tu.
 
kwahiyo anachofanya mwabukusi ni kuunganisha nguvu upinzani 😅
Anasema ukweli, kuwa ni ukhanithi kwa wapinzani kuendelea kushiriki chaguzi hizi kwa mazingira haya ya kihanithi. Na hao wapinzani watakaokubali kushiriki huo uhuni uitwaa uchaguzi, watashangaa jinsi kutakakavyokua na wapiga kura wachache.

Wananchi wameshastuka hawana muda wa kufanywa mafala kwenye mstari wa kura, wakati ccm wamekuja na matokeo yao mfukoni. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataletaa mabadiko ya kweli kwenye chaguzi za nchi hii.
 
UVCCM najua leo mmepewa bando, mnatunga story yeyote so long as mwajiri wenu [MWANA MFALME BASHITE] aone thread kuhusu Mbowe.
 
Wengine tulishastuka kitambo. Siasa tunatumika kama mitaji kwa watu. Wananchi wakifikia hatua hawaamini wanasiasa watakuja kutafuta njia zao zingine kudai maslahi yao.
Uko sahihi kwa hili. Ni Bora hawa wanaonajisi chaguzi zetu waendelee kukaa madarakani kwa shuruti, siku wananchi wakijua wanafanywa mafala wataingia mtaani, au jeshi likijua wajibu wake litafanya mapinduzi.
 
Gentleman,
Tz requires vibrant, united and very focused opposition, to checkmate and oversight the government policy, actions, plans and programmes towards wanainchi...

Sasa kwa hali hii anayoleta mwabukusi kweli mtaishia kutukana tu ili ipatikane tume huru ya uchaguzi au Katiba mpya? Kwamba matusi itazuia au kuibabaisha Serikali kuwatumikia wanainchi?

Friends,
Kwani hua mnatumia nini kufikiri? mathalani mchakato wa Katiba uanzishwe leo, itaundwa katiba itapitishwa na walio wengi ambao ni CCM vizur sana, na mtaishia kususa tu and nothing will happen...

Unganisheni nguvu, elewaneni , aminianeni, walau muwe na nguvu na sauti moja ndrugu zango....

I demand vibrant and united opposition in Tz.
 
Daaaaaaaaaah yeee ndo kajua leoo?? Siasa Bongo ni ajira, wa sisihemu na upinzani akili ni moja,
Huwa nawashangaa vijana hohe hahe kutumiwa na wanasiasaa mpaka wanapoteza maisha wengine ulemavu wa kudumu
Kiufupi mwanasiasa wa kuja kumkomboa mtanzania kizazi hiki bado hayupooo
 
Hata kama ni kweli hivyo ndivyo upinzani unapaswa kuwa au ni utoto au ufahamu na uelewa ni duni juu ya siasa za upinzani?

Gentlemans,
Joins your heads, hands and ideas together and find a one way or path to go,
and confront the government in a formal way everyone can understand, apriciete and may be attracted by the approaches you are using....

Kubweka bweka na kutukana ni nonsense...
 
Narudia tena, hakuna mtu mwenye akili timamu ataendelea kushiriki hizi chaguzi za kipuuzi. Serekali kutumikia wananchi ni wajibu hata ingeingia serekali ya kijeshi itatumikia wananchi, as long as wanakusanya Kodi. Hapa tunazungumzia legitimacy ya umma. Unaweza kukaa madarakani bila ridhaa ya umma.

Tunapiga kura na kuwapa watu tuwatakao na sio hao wanaochomekwa na ccm kwa kunajisi uchaguzi. Kama issue ni serekali kutumikia wananchi, uchaguzi ni wa nini wakati hata mkoloni alikuwa na serekali?
 
Kaa kando na mihemko yako ni haki na uhuru wako. Wala hayupo kukushurutisha....

Walio tayari kushiriki uchaguzi na kutumia haki zao za msingi kuchagua viongozi wao kwenye sanduku la kura, watashiriki na watalindwa kwa nguvu zote, na serikali mpya itapatikana na itaundwa na kazi za kuwaletea wananchi zitaendelea bila wewe mtanzania mwenzangu Tindo na bila tashwishwi yeyote...
 

Tunaungana kwenye kushiriki chaguzi za haki, sio hizo za kwenda kupotezeana muda kisha kupewa viti viwili vitatu vya hisani ili kuhada umma na dunia kuwa Kuna demokrasia.

Ni hivi, tumechoka kuongozwa na chama hiki hiki miaka yote tena kwa shuruti. Tunataka chaguzi za haki anayeshinda ashinde kihalali, na sio kupotezea wanaume muda wao kwenye mistari ya kura, wakati mnalazimisha kuongoza kizazi kilichowachoka. Serekali inaweza kuundwa na watanzania wengine, sio lazima ccm bila ridhaa ya umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…