Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Wote upinzani na majambazi ya ccm ni wachumia tumbo tu.
 
Mimi ni mmoja wa watu niliyeunga mkono maanadamano ya Mwabukusi, na kuona ugumu wa kilichotokea. Ila hii kauli yake ya kwamba CCM ni Wazuri kuliko upinzani, nimemfuta kabisa mpaka siku nyingine. Achelewi kuchukua kadi huyo.
 
Siasa za kutishana zilishapitwaga na wakati bwashee

Nimekutishia wapi?. Kukwambia siku yako inakuja nimekutishia?. Nimekuona sehemu unaikanja CHADEMA kijinga nikachukia Sana Tena kwenye suala sensitive wewe unafanya dhihaka. Ndio maana nikakwambia siku yako inakuja.
 
Hakuna cha ukweli zaidi ya ujinga
Swali nikuulize kufeli kwa maandamano yake atawalaumu chadema
 
Mimi ni mmoja wa watu niliyeunga mkono maanadamano ya Mwabukusi, na kuona ugumu wa kilichotokea. Ila hii kauli yake ya kwamba CCM ni Wazuri kuliko upinzani, nimemfuta kabisa mpaka siku nyingine. Achelewi kuchukua kadi huyo.
Tazama maudhui ya kile kilichomfanya akatamka hayo maneno, kisha jiulize ni ya kweli au uongo.

Usimgombeze.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hivi CHADEMA imeshiriki uchaguzi gani?. Tuwe serious kidogo. Wanaoshiriki so wanajulikana?. Kwanini asiwaseme moja kwa moja?
 
Sasa Mkuu Mwabukusi anapambana na nani na CCM au Wapinzani. Yaani uko vitani na Wenzako ghafula unawageuka na kuanza kuwashambulia, unategemea adui unampunguzia au unamuongezea nguvu?
 
Mimi ni mmoja wa watu niliyeunga mkono maanadamano ya Mwabukusi, na kuona ugumu wa kilichotokea. Ila hii kauli yake ya kwamba CCM ni Wazuri kuliko upinzani, nimemfuta kabisa mpaka siku nyingine. Achelewi kuchukua kadi huyo.
Anataka shortcut ndo tatizo lake alafu maisha hayako hivyo sio kila jambo ni rahisi kwenye maisha
 
Usichanganye mambo, hapa hayazungumziwi maandamano, wewe tazama kile alichosema utuambie kama kina ukweli au hakina, kwa sababu zipi.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ukweli upi wewe unaweza fanya kazi bila mshahara kama unaweza unahaki ya kuwalaumu ambao wanatafuta ela kwenye siasa

Kama unafamilia jaribu uone kufanya kazi bila mshahara kwa kisingizio ni mzalendo
 
Mimi namuona mwabukusi Kama pandikizi. Maana kaikuta CHADEMA inapambana, kaanzsha movement yake. Cha ajabu kila akiamka asubuhi matusi kwa upinzani ikiwemo CHADEMA. Mwabukusi anajua kuwa wananchi na wanachama wa CHADEMA waliotaka chama kishiriki uchaguzi mdogo wa mbarali, viongozi wakagoma. Sasa unamlaumuje CHADEMA kwa nafasi hiyo?. Mumshauri aache kelele za kuishambulia upinzani ana ajikiye kwenye movement yake.
 
Kwa akili yako unafikiri unaweza toka nyumbani kwako na visera vyako Chadema au ACT wakakuchukua tu??

Hizo taasisi ni Mali binafsi za watu kuingia huko mpaka ushikwe mkono.
 
Sasa Mkuu Mwabukusi anapambana na nani na CCM au Wapinzani. Yaani uko vitani na Wenzako ghafula unawageuka na kuanza kuwashambulia, unategemea adui unampunguzia au unamuongezea nguvu?
Usipoziba nyufa zenu kama wapinzani ni vigumu sana kuwashinda CCM mkiwa hampo organised, na hii inasababishwa na tamaa ya ubunge anayoilaumu Adv. Mwabukusi, kuwa na msimamo usioyumba wa kile unachopigania ni muhimu sana, hapo ndipo CCM hushtuka.

Lakini ukiona Samia anasema kule ndani kwao hapajatulia, ujue ameshawapima uzito akajua kilo zenu, hamumtishi tena, ndio maana Adv. Mwabukusi anawataka kurudi kwenye drawing board muangalie mnakosea wapi, yuko sahihi kabisa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…