denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Mwanasiasa kuwa mfanyabiashara sio tatizo, tatizo ni kuitumia siasa kama myaji wa biashara, hapo ndipo penye tatizo, utumwa huanzia hapo.Wewe huku unalipwa mshahara, unataka wanaume wenzako wakupiganie bure
Na-nikusaidie wanasiasa wote ni wafanyabiashara sababu huwezi pata mda wa kwenda majimboni huko kama wewe ni mwajiriwa mfano angalia mbowe, boniphase, heche wote hawa wana-biashara zao
Huwezi kuwa mwajiriwa huku unafanya siasa sababu hakuna mwajiri atakayekupa ruhusa za kila mara kwenda kufanya mikutano ya siasa huku kazi zinakusubiria mara umekaa korokoroni wanasiasa wote ni wafanyabiashara kama hulikua hulijui
Nielewe.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app