Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

Safi. Huu ndio Ukweli na ushauri mujarab.

Tindo
Sijali financial status ya Sasa ya hao viongozi wa cdm ikoje, ila siamini katika utawala wa ccm, na ifahamike wazi hiki sio kizazi Cha ccm. Waheshimu uchaguzi wakae madarakani wenye ridhaa ya umma.
 
Sio kweli, lilikuwa kikao Cha wadau kuhusu maoni ya kurekebisha muswada wa sheria za uchaguzi. Hiyo haimanishi CHADEMA inashiriki uchaguzi mpaka sheria itambue Time huru.
Kwa hiyo alikwenda kama mshiriki wa uchguzi ujao au alikwenda kutoa msimamo wa chama kutoshiriki uchaguzi ujao? Hebu tuwe wa kweli msiamo wa chadema ni upi kuhusu uchaguzi ujao?
 
Kipindi billcanars inataifishwa, mashamba ya mbowe yanaharibiwa na kumbuka account za mbowe zimefungwa na zimefunguliwa wakati wa samia au kipindi hiko mbowe anafanyiwa hayo madhila ulikua bado mtoto
Hivi wewe unadhani hela anayopata kupitia siasa hata uwe na bilicanas kumi ni cha mtoto,hivi unadhani kwa nini hataki kuachie uwenyekiti?
 
Kwa hiyo alikwenda kama mshiriki wa uchguzi ujao au alikwenda kutoa msimamo wa chama kutoshiriki uchaguzi ujao? Hebu tuwe wa kweli msiamo wa chadema ni upi kuhusu uchaguzi ujao?
Msimamo ni hakuna kususa!! Fisi haachiwi bucha! Ama turekebishe sheria na katiba ground iwe fair ama hakutakuwa na uchaguzi.
Malaya wanashadadia waachiwe bucha hii option ya kususa CCM isahau. Ama fair election ama hakuna uchaguzi.
 
Hivi wewe unadhani hela anayopata kupitia siasa hata uwe na bilicanas kumi ni cha mtoto,hivi unadhani kwa nini hataki kuachie uwenyekiti?
Wewe Makupa siasa imekupa nini zaidi ya kuishi kama malaya?
 
Tanzania hakuna harati za kweli za upinzani wala nia ya kushika dola.

Chama tawala kiko comfortable wanafanya wanavyotaka, hakuna chama cha kuwanyima usingizi.

Kabla Mh Mbowe hajakamatwa moto wa kudai katiba mpya ulikuwa mkubwa na watu walihamasika sana.

Harakati hizo zikasimama baada ya Mbowe kukamatwa, na zikafa kabisa baada ya Mbowe kutoka jela.
 
Naamini Mbeya wanaweza kuanzisha chama cha ziada chenye mafanikio kwenye upinzani, isiwe kila muda vyama vyenye upinzani vianzishwe na watu wa Kilimanjaro (Ilianza Tlp, ikaja Nccr, sasa ni Chadema)
wapiga Dili hao
 
Sijali financial status ya Sasa ya hao viongozi wa cdm ikoje, ila siamini katika utawala wa ccm, na ifahamike wazi hiki sio kizazi Cha ccm. Waheshimu uchaguzi wakae madarakani wenye ridhaa ya umma.

Hivi, katika kumfahamu kwako Mzee Kikwete uliwahi kumshuhudia akiweka hadharani vyanzo vyake vya mapato?

Uliwahi kumuona yeye binafsi akiweka bayana iwe mitandaoni ama magazetini, biashara zake?

Lakini si tunajua vyanzo vyake vingi tu kulingana na tetesi mitaani, ndugu na Jamaa ama vinywa vya mashabiki wake (Chawa?)??

Hata Mwigulu mwenyewe tetesi za umiliki wake wa team ya mpira, bus za usafiri mikoani na mengineyo alishawahi kusimama hadharani na kujitaja bayana?

Wengi wa wanasiasa hapa TZ hasa kutoka CCM na vyama vichache vya upinzani, wakimiliki mali na biashara kubwa ama ndogo tumeshuhudia wakiwatumia marafiki/ business partners ama ndugu kusimama badala yao,……Kwanini unadhani they go through so much trouble?

Ushauri wa Jamaa hapo juu ni wa dhahabu sana, ni ubinafsi pekee utakufanya uuone ni mbaya.

Hata huu mtifuano unaoendelea CCM huwaoni wahusika halisi wakichezesha karata zao, utawaona wachezaji wao tu.
 
Wewe unajua chadema wanapokea rukuzu Bilioni ngapi kwa mwezi? Au mpaka tukuwekee picha za Lissu anatumbua mipaja ya saso akishushia na kilimanjaro ndio utaamini?
Kwa hiyo ni kosa lisu kula mapaja unafikra mbovu
Chadema hawajawahi kuchukua ruzuku ya billion tokea kianzishwe hizo billion wanachukuagq ccm
 
Haya sasa, unakielewa unacho eleza hapa?

Kwamba, Mbowe sasa atelekeze juhudi za chama alicho kiongoza kushika madaraka ya nchi na kuleta mageuzi, kwa vile sasa anafaidika na anachopewa yeye na hao hao waliokuwa wakimuumiza yeye binafsi siku zote?
Maana yako ni kwamba, bei ya Mbowe katika maisha yake ya 'kisiasa' sasa imekamilika, kwa hiyo hana sababu tena ya kuhangaika na shughuli za chama kukiwezesha kushika madaraka, ili aliyo kuwa akiyapigania miaka yote, kama mwanasiasa yatimie!

'Theme' hii ndiyo unayo ielezea tokea mwanzo wa maelezo yako katika mada hii. Mawazo ambayo ni kinyume kabisa na kuwa na mwanasiasa halisi anaye pigania anayo yaamini yeye na chama chake.

Unamhimiza Mbowe sasa aungane na CCM ya Samia, ili na yeye afaidi uhondo wa kuwapiga waTanzania.
Mbowe familia yake ni tajiri kabla hata ya uhuru hana njaa kama hizo unazoziongolea
 
Hivi, katika kumfahamu kwako Mzee Kikwete uliwahi kumshuhudia akiweka hadharani vyanzo vyake vya mapato?

Uliwahi kumuona yeye binafsi akiweka bayana iwe mitandaoni ama magazetini, biashara zake?

Lakini si tunajua vyanzo vyake vingi tu kulingana na tetesi mitaani, ndugu na Jamaa ama vinywa vya mashabiki wake (Chawa?)??

Hata Mwigulu mwenyewe tetesi za umiliki wake wa team ya mpira, bus za usafiri mikoani na mengineyo alishawahi kusimama hadharani na kujitaja bayana?

Wengi wa wanasiasa hapa TZ hasa kutoka CCM na vyama vichache vya upinzani, wakimiliki mali na biashara kubwa ama ndogo tumeshuhudia wakiwatumia marafiki/ business partners ama ndugu kusimama badala yao,……Kwanini unadhani they go through so much trouble?

Ushauri wa Jamaa hapo juu ni wa dhahabu sana, ni ubinafsi pekee utakufanya uuone ni mbaya.

Hata huu mtifuano unaoendelea CCM huwaoni wahusika halisi wakichezesha karata zao, utawaona wachezaji wao tu.
Kama umepata hela zako kihalali huwezi kuficha. Ukiona kiongozi anaficha uhalisia wa vyanzo vyake vya mapato, hiyo sio sifa Bali ni wizi. Usitake sifa za viongozi wa ccm, viongozi wengine waige. Isitoshe hao viongozi wa ccm sio role model wa viongozi wa vyama vingine, Bali ni role model wa wafuasi wa chama chao.
 
Kwani kuwazuia hao DP World ni jukumu la CDM tu? Au ww ni wale wanaokaa pembeni wanaamini hilo ni jukumu la cdm pekee Yao kama chama?
CDM ina exist kwa kazi hiyo la sivyo hamna haja na kuwa na vyama mbadala vya siasa. Unadhani CDM imeundwa kulalamika tu au kula ruzuku? Umeuliza swali la ajabu.
 
Mazingira ya Sasa hayaruhusu wananchi kuandamana. Mbona kipindi Cha JK watu waliandama Sana? Mpaka CHADEMA kikaitwa chama Cha kigaidi.
Hii toka enzi za NCCR hapajawahi kuwa na mazingira mazuri ya kuandamana. Wananchi hawana imani na viongozi wa siasa.
 
Back
Top Bottom