Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu![emoji419][emoji375]Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Watanzania wengi hawajui chochote wanaamka asubuhi kupambana na maisha maskini.Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
Huyo alipo top katiba imemfanya kuwa mungu MtuKwenye hili la mkataba wa bandari adui mkuu ni Samia hao wakina Mbalawa ni vijidagaa.
upuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Mbona unaongeza kujidhalilisha mkuu. Nani asiyejua "manufaa"?Ungekuwa unajua manufaa ya mkataba usingelopoka ujinga wako
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .Ni kweli hasa ukizingatia wamefungua kesi kwenye mahakama za ndani ambazo haziko huru.
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .Mwarabu ndiye aliyefanya biashara ya utumwa akaja.mwingereza akamtimua inabidi tudai na fidia tuandae ombi kwa UN
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Wengi ni wajinga, hasa vijana na ndio maana hata viongozi wanapata nguvu ya kuwadanganya eti walichosaini sio mkataba ni makubaliano tu, mikataba inafuata. Tangu lini Bunge likawa na mamlaka ya kuridhia makubaliano?
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Toka lini Bunge likaridhia makubaliano Someni ibara ya 63 ya katiba ya Tanzania, tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge, Mali za Tanganyika zimehatarishwa.
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Hao wafukuzwe kama mbwa, mkataba waliosaini ni wa kimangungo
Umeona mbali ndugu yangu. Tanzania hatuna katiba ndo Mana hakuna wa kumfanya chochoteKwenye hili la mkataba wa bandari adui mkuu ni Samia hao wakina Mbalawa ni vijidagaa.
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Wakili Boniphace Mwabukusi;
Spika avuliwe uspika,Waziri Mbarawa na katibu wake waondoke kwa kuhatarisha Mali za Tanganyika.
404: Page Not Found
Kale kamama ni laana kwataifa etii spika wa hovyooo kuwahi kutokea TanzaniaTena huyo tulia Mungu atamlaani kwa kufanya usaliti dhidi ya magufuli
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Na pengine waliomshauri hili wamekaa sehemu wanamcheka. Tena nadhani walimshauri wakitaka kummaliza kabisa kisiasa. Asitamanike,watu wamchukie wamuone hatoshi.
Wamefanikiwa kwa 99%
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.