Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

Atuondolee ujinga wake hapa. Anapiga makelele kama kengele. Kama ana uchungu naye aende magereza akakae naye.
Mkuu,Luca,mimi naapa nitakurudishia akili zako si siku nyingi.Nilikuloga uwe zuzu ili nitajirike na sasa nimetajirika.Sasa,ya nini nindelee kukufichia kaubongo kako?Nakurudishia.Unadhalilika sana mkuu.
 
Bila kuwakazia watamuua jamaa! Yule mama nimegundua ni katili aisee! Kwa kauli ya juzi kule Malawi
Tabia ya ushungi, makatili. Jitu katili hasa, bila kuomba msada wa Marekani tumeisha maana sisi ni mdabwada, ibota, mayai, lastly Mavi uharo
 
Atuondolee ujinga wake hapa. Anapiga makelele kama kengele. Kama ana uchungu naye aende magereza akakae naye.
Heshima ni kitu cha bure, sio heshima kumtukana rais wa TLS kuwa ni mjinga atuondolee ujinga wake na hicho anachopigania unakiita anapiga makelele!, jiheshimu, waheshimu wengine, na wewe utaheshimika!.

Kama ambavyo sisi Wazalendo hatunyamazi wakati rais wa nchi akitukanwa na Hawa vilaza wa humu, ndivyo alivyo kwa wanasheria wa humu, hatuwezi kunyamaza rais wetu wa TLS akitukanwa na kilaza mmoja wa D mbili!.

Jiheshimu!.

P
 
Tabia ya ushungi, makatili. Jitu katili hasa, sisi ni mdabwada, ibota, mayai, Mavi uharo
Mkuu Ritaya Retired, hizi lugha sio za kiungwana, wengine ndio tuko lunch na jf mkononi, unatuharibia bure appetite yetu kwa maneno machafu ya chooni!
P
 
Mkuu Ritaya Retired, hizi lugha sio za kiungwana, wengine ndio tuko lunch na jf mkononi, unatuharibia bure appetite yetu kwa maneno machafu ya chooni!
P
Paskali acha mbwembwe zisizo na tija.Ni vema wenye vinyongo wakaachwa watoe sumu kifu yao hata kwa maneno tu.Muda ni huu.Au unapenda vifua vijae sumu ili waandamane upya?
 
Hii ndiyo lugha inayo stahili wauaji. Niwalembe wauaji??
Hata wauaji wanastahili heshima, kuheshimiwa!. Wanaohukumiwa kunyongwa, siku ya kunyongwa wanavalishwa nadhifu, kama ni Wakristo wanasaliwa sala ya toba, wanaungamishwa na kupakwa mpako wa mwisho ndipo wananyongwa, kama ni Waislamu wanatazamishwa kabla na kunyongwa, kisha wanaoshwa na kuzikwa Kiislamu huku wametizamishwa kibla.
Hata Osama, japo alizikwa baharini, alioshwa na kuswaliwa na kuzikwa Kiislamu.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…