Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

Heshima ni kitu cha bure, sio heshima kumtukana rais wa TLS kuwa ni mjinga atuondolee ujinga wake na hicho anachopigania unakiita anapiga makelele!, jiheshimu, waheshimu wengine, na wewe utaheshimika!.

Kama ambavyo sisi Wazalendo hatunyamazi wakati rais wa nchi akitukanwa na Hawa vilaza wa humu, ndivyo alivyo kwa wanasheria wa humu, hatuwezi kunyamaza rais wetu wa TLS akitukanwa na kilaza mmoja wa D mbili!.

Jiheshimu!.

P
Mbona huwa unakaa kimya na ulikuwa unakaa kimya wakati Huyo mpiga Makelele na Mropokaji anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu? Huyo Mwabukusi hastahili kupewa heshima kwa sababu mdomo wake hauna heshima wala adabu zaidi ya kupiga kelele tu kama kengele au debe tupu.
 
Duh...!,
Huyo mpiga Makelele
Mropokaji
hastahili kupewa heshima mdomo wake hauna heshima wala adabu zaidi ya kupiga kelele tu kama kengele au debe tupu.
。。。。
Naendelea kusisitiza heshima kitu cha bure

Jibu swali kwanini ulikaa kimya wakati huyo mpiga Makelele akimdhalilisha Rais wetu kwa lugha chafu na mbaya?
 
Back
Top Bottom