Heshima ni kitu cha bure, sio heshima kumtukana rais wa TLS kuwa ni mjinga atuondolee ujinga wake na hicho anachopigania unakiita anapiga makelele!, jiheshimu, waheshimu wengine, na wewe utaheshimika!.
Kama ambavyo sisi Wazalendo hatunyamazi wakati rais wa nchi akitukanwa na Hawa vilaza wa humu, ndivyo alivyo kwa wanasheria wa humu, hatuwezi kunyamaza rais wetu wa TLS akitukanwa na kilaza mmoja wa D mbili!.
Jiheshimu!.
P