Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Mtuga Kati ya mawakili wapumbavu walioinajisi mahakama. Amefanya mahakama ionekane ni ya kipumbavu. Polisi na magareza nao wameonyesha mahakama ni takataka furani hivi na wanaweza kufanya chochote wanachokitaka
Furani ni kitu gani? Neno ni fulani
 
Huwa ananishangaza anapokuwa anamwambia Tundu Lissu kwamba "anataka huruma ya mahakama." Lissu anataka kesi isikilizwe Mahakama Kuu. Yeye na jopo lake (sasa siku 112 zimepita) bado kesi inahairishwa tu, je ni nani kati yao na Tundu Lissu anataka huruma ya mahakama? According to me, he projects his own feelings onto Tundu Lissu.
 
Yaani Mahakama haina cha kufanya......Hata wakiahirisha kwa miaka 20+, Mahakama haina namnanya kufanya inabidi mahakama ifate tu wanachotaka wao. Hii Mahakama ni Mahakama kweli kweli.
 
Yaani Mahakama haina cha kufanya......Hata wakiahirisha kwa miaka 20+, Mahakama haina namnanya kufanya inabidi mahakama ifate tu wanachotaka wao. Hii Mahakama ni Mahakama kweli kweli.
Naona hakimu alisisitiza zaidi upande wa mashtaka waje na jibu linaloeleweka Agosti 13. Tusubiri tuone kama hakutakuwa na ahirisho tena.
 
Umenena vyema, mtu makini hujifunza kutokana na makosa ya wenzake,Bali mpumbavu hujifunza kutoka kwa makosa yake mwenyewe!Anayedhani amesimamaa imara, akaangalie asije kuanguka ghafla!
 
Binadamu tutashinda ya kusahau,mvumbuzi wa silaha Kali ya kirusi,alipata sifa sana pamoja na Nia nzuri yake (Ak47)lakini alikuja akijutia kuitengeneza hiyo silaha!Je huyu katunga, Watoto wake pamoja na wajukuu wanalo la kujivunia kutoka kwake na Mungu wake?(0).
 
Baada ya hiyo hukumu familia ya huyo jaji ikaamia uingereza kula maisha, kama ambavyo familia ya Katuga inakula maisha.

Mungu si Abdul Wala Mchengerwa, mwaka 2014, waasi wa ISS waliushika mji wa Bag dad, jaji Rauf hakuwa na mtu wa kumlinda, waasi walianza nae, walimnyofoa nyama Moja baada ya nyingine. Alikufa kifo Cha mateso sana,πŸ“ŒπŸ”¨πŸ‘ŒπŸΏ
 
Umecopy na kupaste!
 
Cheka Leo,ulie miaka yote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…