hahahaha umetema nyongo yoteHajawahienda hata law school
Hata kama angeenda kwa uchawa wake kwa Serikali na Chama asingeweza simama mahakamani kuipinga Serikali kwa kigezo Cha kuwateteea walalahoi
Yuko radhi alambe matako ya wenye madaraka Ili tu kikampuni chake kipsnde za kuhost sherehe za 7/7 au 8/8
Au kufukuzia teuzi za uDC na uRC
He is too coward to stand up for anything
We si unaona hata nyuzi zake humu ni ndeeeeefu kama kitabu Cha Barua Ndefu Kama Hii
Tena ni za kuuma na kupuliza bila ya kuwa msimamo maalumu
Zimejaa question marks ili likitokea la kutokea aseme nilishatabiri
Ndumilakuwili huyo
labda za hapa JF.Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
Tunaomba na résume ya kesi zake
Kwahio bwana Pascal Mayalla ni chawaAtakuwa hajapata wateja mkuu...nadhani soko ni gumu kwake sababu ya tabia yake ya ukigeugeu na kijikombakomba sana,hasa kwa Serikali.
Sijaona haki yeyote ya mtu aliyoiteteaMsomi mayala yeye alishasema kuwa yeye ni wakili wa haki za binadamu...
No
Wakili Pasco Mayalla -A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part II
Wanabodi, Nipashe ya leo, Story Inaendelea... Kwa Wasomaji wapya, hii ni stori ya safari yangu ya ndoto ya kuwa wakili, iliyonichukua iliyoanzia Mwanza mwaka 1976 takriban miaka 45 iliyopita, hatimaye nimekuwa wakili mwaka huu, hivyo kujiuliza jee sasa, bado naweza kuwa kama Wakili Murtaza...www.jamiiforums.com
Ana mchanyato usio eleweka,Kunguni,Popo yuko pia nk.Kwahio bwana Pascal Mayalla ni chawa
P popote ulipo jitokeze ujikung'ute mavumbi yote unayorushiwa🤔Ana mchanyato usio eleweka,Kunguni,Popo yuko pia nk.
Unaweza kuwa wakili bila kusimama mahakamani hata mara moja?!Sijui kama kawahi kusimama mahakamani,😄
Ova
Huenda akanitetea kwenye mahakama ya wale wanyama wa madoa doa😅Nasubiri mrejesho kutoka kwa muhusika, vipi mkuu unataka akutetee kwenye kesi.
Yeye haendi mahakamani anatoa msaada wa kisheria kwa watu tuuSijaona haki yeyote ya mtu aliyoitetea
Kama Kuna ushaidi leta hapa
Yeye haendi mahakamani anatoa msaada wa kisheria kwa watu tuu
Yah,kweli nishawaona wengiUnaweza kuwa wakili bila kusimama mahakamani hata mara moja?!
Tukimpata atasema,ila hata yule mshikilia makali wa habari alisema baada ya kusumbuliwa ameamua kufanya darasa la sheria.Nadhani alisoma uwakili ili aongeze kitu kwenye uandishi wake wa habari...
Angekuwa sio kada angekuwa anawahoji viongozi wakubwa akihusisha sheria ...
Nimemtag sana kwenye issue za kisheria aje atoe maoni jibu lake huwa ni hiloLeta ushaidi
tumsubiriTukimpata atasema,ila hata yule mshikilia makali wa habari alisema baada ya kusumbuliwa ameamua kufanya darasa la sheria.