Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

Ameshinda kesi ipi? Ni hilo tu
 
Hivi Pascal naye ni Wakili wa kujitegemea?
 
Anaokotoleza story za kijiweni na korido za mtaa na kuzifanya ziwe zake.
 
CPA ngoja na wewe aje kukuuliza umefunga mahesabu ya kampuni ngapi kubwa
 
Huyo sijwahi kusikia kuwa ni wakili, nijuavyo anasema amesoma sheria. Kusoma sheria siyo lazima uwe wakili,
 
Kwani wakili ni lazima ashinde kesi mahakamani?

Huelewi kuwa hata muandishi wa habari anaweza kutaka kusoma sheria na kuwa wakili ili kuwakilisha hoja fulani katika habari vizuri zaidi?
 
Ukisikia umbea ndiyo huu, unafuatilia maisha ya mwanamme mwenzako ili iweje?
 
Mwacheni Pasco na maisha yake bana!
 
Unazijua sifa za kuwa wakili au unaandika kwasababu unacho cha kuandikia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…