Ni kuwakilisha hoja au kuwasilisha hoja?Kwani wakili ni lazima ashinde kesi mahakamani?
Huelewi kuwa hata muandishi wa habari anaweza kutaka kusoma sheria na kuwa wakili ili kuwakilisha hoja fulani katika habari vizuri zaidi?
Nimemaanisha kuwakilisha hoja. Si kuwasilisha hoja.Ni kuwakilisha hoja au kuwasilisha hoja?
Tena na weweHuyo sijwahi kusikia kuwa ni wakili, nijuavyo anasema amesoma sheria. Kusoma sheria siyo lazima uwe wakili,
Kumbe tiki za blue nikuonyesha watu wakula chumvi nyingi??Ni kweli kabisa Mkuu na mimi ninasubiri jibu kama wewe
Mimi mbona Ndo kwanza nina miaka 22 Mkuu..Kumbe tiki za blue nikuonyesha watu wakula chumvi nyingi??
Haahhha Muhasibu Jibu lako Hili hapaKwanza tuwekane sawa, wakili hashindi kesi na hakuna takwimu rasmi utakazopewa kuwa wakili huyu alishinda kesi hii na hii, wakili anaisaidia mahakama kufanya interpretation ya Sheria kulingana na mwenendo wa kesi , so hatujui ameshinda ngapi, je akienda mahakamani mahakama ikitoa hukumu in favour of his clients awe anakuja jamii foroum kuwatag watu, I think hoja Yako mleta Uzi ni first degree rubish
Eti ehMimi mbona Ndo kwanza nina miaka 22 Mkuu..
Chumvi niliyokula labda ya kwenye Mboga..
Bado mteke kabisa
Kwanza tuwekane sawa, wakili hashindi kesi na hakuna takwimu rasmi utakazopewa kuwa wakili huyu alishinda kesi hii na hii, wakili anaisaidia mahakama kufanya interpretation ya Sheria kulingana na mwenendo wa kesi , so hatujui ameshinda ngapi, je akienda mahakamani mahakama ikitoa hukumu in favour of his clients awe anakuja jamii foroum kuwatag watu, I think hoja Yako mleta Uzi ni first degree rubish
Mkuu mwanyaluke kazunguka tu na bila shaka anaelewa tunachozungumza. Hukumu ikitolewa in fovour of client kwa lugha nyepesi ameshinda kesi. Hakuna mahali tumetaka kila akishinda aje kusema humu, isipokuwa tumeomba kupima ufanisi wake kwa ujumla kama member anayeonekana VIP humu. Kwani ufanisi wa wakili msomi au hata kazi yeyote unapimwaje?Haahhha Muhasibu Jibu lako Hili hapa
OKW BOBAN SUNZU
Uwakili una kazi nyingi, ushauri wa kisheria, kuthibitisha viapo, kuandaa nyaraka na mengineyo. Huwezi kupima uwakili wa mtu kwa kushinda kesi mahakamani.Utavitenganishaje sasa? Ni yeye
Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
ππ
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
ππππππ ukitaka taarifa nedna masijala, acha dharau bwana Mdogo, awe Intern? Kamaliza Law School tangu 2001.Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla
πππππππHuyo hajawahi onekana kwenye korido za mahakama.