Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Katika watu wanaofaidi hela za chadema, ni huyu Kibatala
 
Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Kwa kiherehere chake, anaenda mabakamani kutoa ushahidi. Kibatala kasema atakuwa summoned kwa court akayaeleze vizuri. Mungu kasbindwa kuvumilia hujuma hii
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Mwanasheria mbumbumbu.yule kutokuwa padri ilikuwa sahihi kabisa. Alafu alivyo wa ajabu anasema muulizeni mbowe si mkristo aseme ukweli. Yeye siro angekuwa mkristo angekuwa mwongo na mbambikiza kesi.
 
Safi sana wakili msomi na mbobezi wa sheria. I was also astonished to hear such uncalled-for press release from a high-ranked police force officer! Is this a kind of government leaders we have?! Let him be brought to justice so as to bring him to senses.
 
Maskini Sirro; pamoja na usomi wako wote wa sheria still unakubali kutumika na CCM waziwazi hivi? Huoni unazidi kujiondolea credibility zako mbele ya watanzania..yaani tangu enzi za MO hujajifunza tu kiongozi? Tukusaidiaje sasa sisi wananchi?
 
Mkuu watacop nini awa viongozi wenye akili ambayo aina tofauti na jambazi wa silaha?.
 
Kinachomtesa Sirro kwa swala la mbowe Ni Kutaka Dhambi aliyoifanya iwe kitu kitakatifu machoni pa wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…