Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Acha uwongo mwezi uliopita kashinda kesi mahakama kuu ile kesi serikali waliamuliwa warudishe fedha, kadanganye ccm wenzako
 
Mbona naye huyo anaiongelea sasa, na mbona hao CDM wanaiongelea kila siku tena kwenye press?!
Mi siipendi michadema kwa sababu inapendaga kupindisha ukweli.
CCM wananyoosha sio?

Mbinguni utapasikia tu
 
Umemaliza kuandika...?

Au bado unaendelea...?
 
Mkuu wa jeshi la polisi anafanya utopolo ule je hao walioko chini yake watafanya nini? Hawa viongozi wamechanganyukiwa nafsi zinawatesa.
 

Kamanda Sirro ayarudie rudie madini haya na kuyaweka for future references:

"1. Anyways; Thank U for making Urself eligible to be summoned by us.

2. I mean; what is good for the goose, must be good for the gander.

3. the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared."

Eti lawyer. Huo u lawyer haimkiniki ni kama zile PhD za korosho.

Hiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…