Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Chadema ni mawakili wa shetani,
Nawasilisha.
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Inawezekana ni mwanasheria,tatizo ukisha ingia ccm,akili zinawekwa kando,Kuna Profesa alisema chuo alichokuwa anafundisha ni jalalani,
Ukiwa ccm,utakiwi kutumia akili,ni kuwa chawa wa mfumo tu ili uendelee kula,Siro kama walivyo polisi wengine,ni kama "attach dog"akiambiwa uma ana uma.
 
Hivi unaweza wafananisha hao na sirro ambaye ni IGP jaribu kutumia akili acha ujinga
 
Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!

Kama yule wa RPC wa Abdul Nondo.

Akafanya Preess na Nondo yupo pembeni kuwa alijiteka mwenyewe. Mahakama ikamuachia huru, RPC sijamsikia tena.

Mambo ya wakuu wa Polisi kufanya press za kuwahukumu watuhumiwa sijui zimetoka wap
 
Kwani mtuhumiwa wa ugaidi anahojiwa vipi wapendwa? Anatiririka tu mwenyewe Au lazima itumike nguvu ya ziada ili aseme kile anachokijua?
 
Iko
Iko siku tutaota sugu hatutageuka nyuma. Tunazidi kukomazwa kupitia uongo mtakatifu tunaozidi kutungiwa. Iko siku hata mawe itasema na kugeuka ngao na fimbo ya kuwachapia wanaoinajisi haki ndani ya nchi hii nzuri aliyoijenga Nyerere kwa muda mrefu.
 
Msijisumbue na hao Polishishiemu , kwanza muda wake unahesabika juzi alijitia kuchoma yale maji ya Marekani yaani hawana muda hawa wataanza kupukutika mmoja mmoja , muda ni mwalimu tosha sana ndugu zangu mtakuja kuikumbuka hii thread na tarehe ya leo
Mbona Mbowe nae kachoma!? Au yeye hawezi pukutika!?
 
Hiki ni kiingereza au mkusanyiko wa maneno ya Kiingereza?
 
Lugha ni njia/ni kwa ajili ya mawasiliano. Kama umefahamu anachokisema, then ujumbe wake umefika. Kama hujafahamu, muulize aliyefahamu akufahamishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…