Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Afu anamhusisha Yesu Kristo wa Nazareth kwenye ufashisti wao. Najiuliza toka moyoni... kwanini IGP azungumzie imani? Kwamba eti kama anamwani Yesu basi Mbowe aseme ukweli? Why Jesus? Nadhiri inamsuta?

Iko siku Siro atamrudia Mungu ndio siku atajua mamlaka ya dunia haina kibali mbinguni. Unavaa gwanda duniani lakini mbingu haina gwanda
 
Sheria ya kudai fidia mtu akibambikiwa kesi inatakiwa ije haraka Kama haipo.

Huwezi kumuita mtu gaidi, ukampotezea muda na mateso ukampa, halafu baadaye unajifanya kufuta kesi kwa sababu wewe ni dpp.

Mbowe hawezi kuwa Gaidi.
Haki ya Mungu Sammy utakufa vibaya
 
Siro niliyemjua, alikuwa smart Sana! Nashindwa kujua ninini wataalam na wasomi wetu huwa wanakutana nacho wakisha funga ndoa na CCM. Maana wanageuka kuchekesho na na wa hovyo isivyoelezeka.!
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…