Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika,na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Afu anamhusisha Yesu Kristo wa Nazareth kwenye ufashisti wao. Najiuliza toka moyoni... kwanini IGP azungumzie imani? Kwamba eti kama anamwani Yesu basi Mbowe aseme ukweli? Why Jesus? Nadhiri inamsuta?

Iko siku Siro atamrudia Mungu ndio siku atajua mamlaka ya dunia haina kibali mbinguni. Unavaa gwanda duniani lakini mbingu haina gwanda
 
Sheria ya kudai fidia mtu akibambikiwa kesi inatakiwa ije haraka Kama haipo.

Huwezi kumuita mtu gaidi, ukampotezea muda na mateso ukampa, halafu baadaye unajifanya kufuta kesi kwa sababu wewe ni dpp.

Mbowe hawezi kuwa Gaidi.
Haki ya Mungu Sammy utakufa vibaya
 
Siro niliyemjua, alikuwa smart Sana! Nashindwa kujua ninini wataalam na wasomi wetu huwa wanakutana nacho wakisha funga ndoa na CCM. Maana wanageuka kuchekesho na na wa hovyo isivyoelezeka.!
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
 
Soma hii
227876094_363233415335666_1367407626868381546_n.jpeg
 
Dear Mr. IGP, Esq; Simon Sirro

1. When a matter is in Court, U are no longer the spokesperson in terms of the charges, or the evidence to be adduced in that regard. U, and those subordinate to U, of whom we will cherish the opportunity to cross-examine thoroughly, are just witnesses. The DPP's Office prosecutes, and it ought to be spokes-institution in the matter; if at all such a need is logically and legally necessary when they have notified the Court that investigation is complete and we expect the judicial process to take its course. Mbowe will tell his story, too; do not forget that.

Unasema suala lipo Mahakamani; and yet unaenda kwenye contents in a Press Conference [emoji2369].

Anyways; Thank U for making Urself eligible to be summoned by us.

2. Nimesikia unasema watu wakamuulize Mbowe awaambie ukweli; do U also mean waende wakawaulize wale vijana waliokuwa wanajeshi wa zamani, ambao wanashtakiwa pamoja na Mbowe, namna walivyotuambia sisi Mawakili kwamba waliteswa sana kabla ya kufikishwa Mahakamani? Mmoja wa hao vijana anasema hawezi hata kutembea vyema (ni kama amepata ulemavu) kwa sababu hiyo, na mwingine ametuonesha kile anachosema ni makovu aliyoyapata kutokana na mateso makali wakati wa mahojiano. Did U mean they should also have the opportunity to air their grievances of torture at this moment in time; to say that they were pressurized into implicating Mbowe, something they steadfastly refused to do?

I mean; what is good for the goose, must be good for the gander.

3. I am sure, upon reflection, U will find that Ur Presser was a contradiction in terms, inopportune and very ill-advised; and that the professional thing for U to do was to muster Ur witnesses and bring them to Court, where they will meet us fully prepared.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji817]
 
Back
Top Bottom