Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

Kukichwa kutapambazuka..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye si Wakili akapambane Sasa huko huko.

Mdomo Huwa unaponza kichwa 🀣🀣
 
Hivi huyu bwana alikosea nini na wapi?
 
Unapotaka na wewe tenda haki

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Polisi ni watekelezaji tu.
Polisi hawezi kukukamata ikiwa huna anayekushtaki.
Haya ni maelekezo ya wajomba wa DPW
 
Nini sababu ya kupata matatizo yaliyopelekea kufanya makubaliano ya malipo? Kuna nyakati zinafanunua lengo la maisha yetu. kama vile ukweli ulivyofanana na kisu kikali kiachochoma.
Na ukweli huo ndio utatuweka huru
Alikua na kesi enzi za Magu zile ya uhujumu uchumi na utakasishaji.
Ishu ni kesi yake ya nyuma na sio hili la maoni ya bandari.
 
Hapo unawalaumu vp polisi wakati Mahakama ndiyo imefuta PB?

Polisi wamefata maelekezo tu
 
Huyu Wakili Madeleka Serikali imemlea sana. Ni wakati sasa wa kushughulikiwa!
 
Mbinu batili za kuwazuia watanganyika wasidai bandari zao walizopewa waarabu milele, Samia ni mwongo na msaliti mkubwa sana kwa watanganyika, na ni kiongozi dhaifu pia, kwani anachokisema hakitekelezwi na watendaji wake na hawafanyi kitu.
Last week Masauni alitoa vitisho nadhani huu ndio utekelezaji wake.
 
 
Tatizo polisi wa Tanzania wanajiona wako so attached na CCM wanasahau upepo unaweza badilika saa yoyote. Uraiani watu wamechoka aisee. I bet Chanzo cha vurugu kitakuwa ni kauli za kibabe za CCM na polisi.
 
Sasa ni Rasmi BANDARI ni tatizo na yanayoendelea tunayafuatilia kwa karibu sana.
 


Shida siyo Police wala, ni center, hapo kazi inaanza upya.
 
Acha akafie jela, Hana adabu kwa serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…