Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

Wakili Peter Madeleka ameachiwa kwa dhamana ya Polisi, ameteswa sana kupata kipigo kisichofaa

Hakuna u dikteta wowote hapo mtanisamehe ambao ntawagusa jichoni! Kwasasa CHADEMA imepoteza maarufu baada ya dikteta kufa kwakuwa hakuna ajenda sahihi na maalumu!

Wote akina Lema sijui Maria wote marafiki zangu Kabisa ila kuna mawazo unaweza kuyasikia ukajiuliza kwamba Kumbe hasara ya Magufuli nchini hapa haikuwa tu kuburuta nchi bali kutumislead tukadhani wanaharakati wako real na wapinzani wako real kama wakipata mtu wa kutokuwa Dikteta, alivyoondoka nikagundua Kumbe wengi walitambalia matukio yake ya Mabavu kupata agenda sasa hazipo !!!!

Nimewagusa wale wa CHADEMA na wanachato ntasubiria mapovu nifulie nguo

Britanicca 25/04/2022 … 17:14 EUROPEAN TIME GMT+1
 
Haya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.

Kumbukia Julian Assange wa wikileaks ambaye alizeekea ubalozini Uingereza.

Na Yule mmarekani mwingine aliyetoa siri za CIA mpaka sasa yuko ukimbizini.

Cha msingi watanzania hasa nyinyi mnaotafuta umaarufu kupitia hizo Club houses na Twitter.

Muelewe kuongea kwa kuwa na mipaka,maana uhuru bila utii ni sawa na uendawazimu.

Kuna njia nyingi za kuongea na kujenga hoja bila kutumia lugha zenye maudhi au kejeli kwa wengine.

Hao Diaspora mnaokutana huko na kufanya mijadala yenu,wengi wana stress zao kimaisha huko ughaibuni na huko club house inakuwa sehemu za kuja kutolea nyongo zao.

Madeleka anaugomvi wake binafsi kumtetea mkewe huko uhamiaji na sasa anajisahau na kuona kama anagombana na mtu mmoja kumbe sivyo.

Hizo ndio Consequence zenyewe!
Mpumbavu mkubwa wewe. Unafananisha ujinga unaofanywa na na hii CCM iliyojaa ufisadi na waliotoa siri za CIA Idiot!
 
Haya mambo yapo kila nchi na hayatakaa yaishe Duniani.

Kumbukia Julian Assange wa wikileaks ambaye alizeekea ubalozini Uingereza.

Na Yule mmarekani mwingine aliyetoa siri za CIA mpaka sasa yuko ukimbizini.

Cha msingi watanzania hasa nyinyi mnaotafuta umaarufu kupitia hizo Club houses na Twitter.

Muelewe kuongea kwa kuwa na mipaka,maana uhuru bila utii ni sawa na uendawazimu.

Kuna njia nyingi za kuongea na kujenga hoja bila kutumia lugha zenye maudhi au kejeli kwa wengine.

Hao Diaspora mnaokutana huko na kufanya mijadala yenu,wengi wana stress zao kimaisha huko ughaibuni na huko club house inakuwa sehemu za kuja kutolea nyongo zao.

Madeleka anaugomvi wake binafsi kumtetea mkewe huko uhamiaji na sasa anajisahau na kuona kama anagombana na mtu mmoja kumbe sivyo.

Hizo ndio Consequence zenyewe!
Lakini pia uliona zile screenshots alizoto ? Madeleka kuhusiana na assasination plot yake?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Rekodi sawa ....huyu Peter ndio yule wakili wa kesi ya Mbowe ?
 
Rekodi sawa ....huyu Peter ndio yule wakili wa kesi ya Mbowe ?
Thubutu Kibatala ndo wa mbowe Madeleka hana hata uweledi wa Sheria anayotweet twitter ukiyaona unashangaa, ila aliwahi kukaa gerezani mwaka mzima Kwa kusingiziwa na Meko
 
Uko sahihi kabisa mkuu, sukuma gang haina uhusiano na wasukuma kama kabila. Japo ndani ya Sukuma gang pia kuna wasukuma kama ambavyo kuna makabila mengine kwa wahaya na wagogo
Hatimaye mmejiona mlivyo pungukiwa taratibu mtaelewa tu kwamba mlikosea
 
Hakuna u dikteta wowote hapo mtanisamehe ambao ntawagusa jichoni! Kwasasa CHADEMA imepoteza maarufu baada ya dikteta kufa kwakuwa hakuna ajenda sahihi na maalumu!

Wote akina Lema sijui Maria wote marafiki zangu Kabisa ila kuna mawazo unaweza kuyasikia ukajiuliza kwamba Kumbe hasara ya Magufuli nchini hapa haikuwa tu kuburuta nchi bali kutumislead tukadhani wanaharakati wako real na wapinzani wako real kama wakipata mtu wa kutokuwa Dikteta, alivyoondoka nikagundua Kumbe wengi walitambalia matukio yake ya Mabavu kupata agenda sasa hazipo !!!!Hazijaisha

Nimewagusa wale wa CHADEMA na wanachato ntasubiria mapovu nifulie nguo

Britanicca 25/04/2022 … 17:14 EUROPEAN TIME GMT+1
Hazijaisha ila wamejiunga na Kazi iendelee baada ya kuridhika.Kiufupi no more upinzani ni mama na watanzania wote
 
Alishikiliwa kwa kosa gani? Tusijekuwa tunapiga kelele kumbe tunayapigania majambazi
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wapi imeandikwa amepigwa.Yaani tafsiri yenu ya udikteta ni kwamba watu wasihojiwe na Polisi wakishukiwa kutenda jinai?
Hamna Taifa la namna hiyo duniani.Yeye nani mpaka akishukiwa kutenda jinai asihojiwe?
Yaani hiyo Nchi ya Utopia unayoitaka wewe haipo.
Wangemdunda vizuri,hayana adabu hayo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nchi hii ingekuwa na wajinga kama wewe enzi za ukoloni tusingepata uhuru
Wakoloni ilikua waachie tu nchi,waliamua kupunguza gharama za kunyonya nchi kwa kuweka utawala wao,wakawa makini kuhakikisha wanaachia vibaraka
 
Huyu madereka,Kuna tuhuma alifukuzwa kazi polisi kwa utovu wa nidhamu,vile vile tuhuma anazotoa ni kutafuta kiki tu,watu wamehoji huyu madereka hajawahi kushinda kesi hata moja,ni janja janja tu,vile vile kama Kuna mawakili wanaoishinda serikali kwenye kesi nyingi ni Kibatara na Malya,mbona wao hawatishiwi maisha sembuse huyu junior lawyer!!
 
Hebu tusaidieni taarifa zaidi za mtu huyu, ili jina nimelisikia baada ya kusoma kwenye ule ukurasa wa Facebook wa Askofu mkuu wa Chadema Mwamakula akisisitiza Sisi Askofu tunataka aachiliwe mara moja.😄😄

Kiukweli nashindwa kuchangia sijui lolote kumuhusu mtu huyu, ila kuna mawakili ni watakatishaji pesa wazuri hasa mawakili wa Arusha.
 
Polisi tena, wamesha mharibia tena Mama. Bango la jana USA kuhusu kuchiliwa kwa Madeleka ni kiburi cha Siro na wanae. Bado Mama haoni hilo doa ndani ya jeshi la polisi??
Kwani huyu Sirro anasubiri nini kupisha IGP mpya na umri wa kustaafu tayari.

Dawa ya Sirro mama ateuwe IGP mpya huku akiwa bado yupo ofisini ndio atakumbuka kumbe siku zake zilishakwisha.
 
Back
Top Bottom