Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Uovu ukizidi Watesi watakosa amani ya nafsi zao na vizazi vyao!

Mwenyezi Mungu hupendezwa na haki.

Mwenyezi Mungu huchukizwa na udhalimu.

Eeeh Mwenyezi Mungu please intervene the situation the way you know @ Father !
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo alisha hukumiwa hata kabla ya kupelekwa mahakamani kufunguliwa kesi.

Nchi hii inahitaji watu 6 kama Hamza, labda ndio tutaheshimiana. Mungu amlaze pahala pema amina.
mkuu Tanzania hakuna damu za hivo. Hamza alikuwa na asili ya damu ya kisomali.

Wee fikiria mtu anapigwa mkwara kwa kutishiwa maji ya kuwasha, eti akishapiga kura ajifungie ndani naye anatii, kisa maji ya kuwasha.

Afu ndo unambie hapo kuna mtu au mbulula.
 
Sio.kweli ukonga ni gereza kubwa Kuna maeneo matatu pale ukonga Kuna selo za wafungwa wa kawaida Kuna selo maalum Amabazo Zina kitanda na choo humo humo ndani wafungwa wa kunyongwa na wafungwa wanaotumikia vifungo vya maisha huishi katika jengo maalum tofauti na eneo alilowwkwa mboye anakula, nyama, samaki na mboga za majani na anapelekewa chakula kwani alipo huwekwa wafungwa wakorofi na wanahitaji uangalizi maalum na ulizi ndao katika eneo Hilo imemalishwa Zaid wafungwa waliopo eneo na.kwa ajili ya mboye Ni kwa ajili utuambia amechanywa wafungwa wakunyongwa sio kweli

Sent from my Nokia C1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa...
Post ya UONGO...
Post ya UZUSHI....
Post ya UZANDIKI.....

Hakuna gereza linalochanganya MAHABUSU NA WAFUNGWA.....sembuse WANAOSUBIRI KUNYONGWA?!! Khaaa 😲😲😲😲

Kweli "BAAVICHAAA" hamna SONI 🤣🤣🤣

#SiempreJMT
 
Sio.kweli ukonga ni gereza kubwa Kuna maeneo matatu pale ukonga Kuna selo za wafungwa wa kawaida Kuna selo maalum Amabazo Zina kitanda na choo humo humo ndani wafungwa wa kunyongwa na wafungwa wanaotumikia ...
Hivi mkuu wale wafungwa wakorofi si huwa wanawekwa ile sehemu ambayo unatolewa kwa saa moja mchana kila siku wenyewe wanapaitaga jela ndani ya jela?
 
Ukonga ni gereza la mahabusu ?jiulize kwanza hilo ndiyo ujue kuwa Mbowe yupo death row
Unaona ulivohujui kitu....gereza lolote lile wanakaa mahabusu na wafungwa..isipokuwa wanalala tofauti...hi Ni kutokana personal experience
 
Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa...
Kumbe bado wananyongwa
 
Mbowe akichomoka hii kesi aachane na siasa for good reason. Sio kwamba ni mkosaji La hasha, ila nimegundua kuna oppression ya ukanda na ukabila ambavyo haviongelewi wazi..
 
Ukitaka kujua akili zetu sisi watanzania angalia hii post Yani mtu hajiulizi kama ni kweli au uongo anaenda Moja KWA Moja kuwa ni kweli
 
Space imenoga kwa kweli ,Lema anazidi kutema cheche..ila Mama ni zaidi ya Magu yaani,unamweka mtu kwenye death row hata hukumu bado [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mama ana roho mbaya sana kuliko watu wanavyodhani.
 
Back
Top Bottom