Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Aisee kumbe ndivyo ilivyo!
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mti mbichi anautendea hivi, Je mti mkavu ataufanyaje?Hata kama wakimuweka huko lakini hawawezi kumnyonga, na wala hao wafungwa wengine nao hawawezi kunyongwa, labda Samia avunje rekodi za watangulizi wake, Mbowe wamuweke popote mwisho wa siku atatoka tu huko walipomuweka.
Roho hiyo wameipanda chadema. Walivyoanza kumbip sasa kawapigia wanalia. Wanataka wapewe nn jaman, si tulisema ni mpole apende asipende atatupa katiba mpya? 😁😂🤣Nawaambia hivi huyu mama ana roho mbaya sana, Kweli sura siyo roho.
Huyu Mama anaweza kunyonga.Hata kama wakimuweka huko lakini hawawezi kumnyonga, na wala hao wafungwa wengine nao hawawezi kunyongwa, labda Samia avunje rekodi za watangulizi wake, Mbowe wamuweke popote mwisho wa siku atatoka tu huko walipomuweka.
Atalipwa kama alivyolipwa Mwendazake.Mama Lina roho mbaya lile, shetani ana afadhali
Kuna ushahidi au stori za kuchangamsha genge ?Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.
-----------------------------------------------------
Anaandika Wakili Peter Madeleka
Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.
Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.
Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa
Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe
View attachment 1928334
Hii imenishtusha sana.

Huyu mama ndie alikuwa anamwambia meko fanya hivi Fanya vile sasa kashika usukaniHii imenishtusha sana.

Ndio maana anafeli kwenye mambo mengi kwani hii ni laana.Mama anafinya halafu haongei...Kama sio yeye hivi.