Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
mkuu Tanzania hakuna damu za hivo. Hamza alikuwa na asili ya damu ya kisomali.Huyo alisha hukumiwa hata kabla ya kupelekwa mahakamani kufunguliwa kesi.
Nchi hii inahitaji watu 6 kama Hamza, labda ndio tutaheshimiana. Mungu amlaze pahala pema amina.
Hizi ni moja ya pumba kama zile nyingine za mitandaoni, no effect !.Mbowe si gaidi, Mbowe akifa watakufa watu wengi
Post ya UONGO...Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa...
Hivi mkuu wale wafungwa wakorofi si huwa wanawekwa ile sehemu ambayo unatolewa kwa saa moja mchana kila siku wenyewe wanapaitaga jela ndani ya jela?Sio.kweli ukonga ni gereza kubwa Kuna maeneo matatu pale ukonga Kuna selo za wafungwa wa kawaida Kuna selo maalum Amabazo Zina kitanda na choo humo humo ndani wafungwa wa kunyongwa na wafungwa wanaotumikia ...
Unaona ulivohujui kitu....gereza lolote lile wanakaa mahabusu na wafungwa..isipokuwa wanalala tofauti...hi Ni kutokana personal experienceUkonga ni gereza la mahabusu ?jiulize kwanza hilo ndiyo ujue kuwa Mbowe yupo death row
Kumbe bado wananyongwaNimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa...
Yule ni kabila moja na Raisi wanatoka eneo mojaAskari wetu wajifunze kutoka kwa HH wa Zambia aye aliteswa hivyohvyo lakn Leo ndio boss was taifa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hakika, kwangu Mimi Hamza ni shujaa.Huyo alisha hukumiwa hata kabla ya kupelekwa mahakamani kufunguliwa kesi.
Nchi hii inahitaji watu 6 kama Hamza, labda ndio tutaheshimiana. Mungu Amlaze Pahala Pema Mpambanaji, Amina.
Mama ana roho mbaya sana kuliko watu wanavyodhani.Space imenoga kwa kweli ,Lema anazidi kutema cheche..ila Mama ni zaidi ya Magu yaani,unamweka mtu kwenye death row hata hukumu bado [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Wewe ni muongo wa kupindukia kabisa. Kwanza Mahabusu hawachanganywi na wafungwa pia wafungwa walioadhibiwa kunyongwa hawakai na wafungwa wengine kabisa. Acha uongo mkuu!!
Mama katekwa anafanya anachoagizwa na watekaji wakeMama ana roho mbaya sana kuliko watu wanavyodhani.