Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Mama ana roho mbaya sana kuliko watu wanavyodhani.Space imenoga kwa kweli ,Lema anazidi kutema cheche..ila Mama ni zaidi ya Magu yaani,unamweka mtu kwenye death row hata hukumu bado [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dah...huko kushtuka na kusikitishwa umejitakia mwenyewe...tena kwa uzembe binafsi...umeshindwa hata kuuliza utaratibu wa magereza na mahabusu ukoje? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤭Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na kwamba wanaweza hata kumnyonga.
Kwa kweli huu sio utu, kinyume cha haki za binadamu na kinyume cha katiba. Kwa katiba yetu, kila mtu anatakiwa kutafsiriwa kuwa huru mpaka atakapodhibitishwa na mahaka kuwa na kosa la kisheria.
Nchi ya Tanzania ni kwaajili ya watanzania wote.
Askari wa TZ hawana akili,huo uwezo wa kujifunza watautoa wapi?. Kazi yao ni kujipendekeza kwa wakubwa.Askari wetu wajifunze kutoka kwa HH wa Zambia aye aliteswa hivyohvyo lakn Leo ndio boss was taifa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo machozi malegevu na mkwe wake wote hawatoboi 2025 ndani ya ccm,yote wanayofanya yana wanarudi,naskia kuna mtoto wake watu wanampakataNimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na kwamba wanaweza hata kumnyonga.
Kwa kweli huu sio utu, kinyume cha haki za binadamu na kinyume cha katiba. Kwa katiba yetu, kila mtu anatakiwa kutafsiriwa kuwa huru mpaka atakapodhibitishwa na mahaka kuwa na kosa la kisheria.
Nchi ya Tanzania ni kwaajili ya watanzania wote.
Dada kwema,pole n msiba wa hamzaWewe ni muongo wa kupindukia kabisa. Kwanza Mahabusu hawachanganywi na wafungwa pia wafungwa walioadhibiwa kunyongwa hawakai na wafungwa wengine kabisa. Acha uongo mkuu!!
Kwa hiyo yeye hana nguvu km Raisi??.Mama katekwa anafanya anachoagizwa na watekaji wake
Nyau wewe Dar es salaam Magereza ya mahabusu ni Keko na Segerea ,kama hujawahi kukaa jela Kaa kimya sisi tunajua uchungu wa jelaUnaona ulivohujui kitu....gereza lolote lile wanakaa mahabusu na wafungwa..isipokuwa wanalala tofauti...hi Ni kutokana personal experience
Uliingia kwenye mtandao wa mawakili wa Mbowe ukamkosa?Chadema ilivyojaa magwiji wa sheria wanasemaje muelekeo wa kesi? Lisu haji kuongeza nguvu?
Weka ushahidi hapa na siyo kupanua domo la maneno matupu...Wewe ni muongo wa kupindukia kabisa. Kwanza Mahabusu hawachanganywi na wafungwa pia wafungwa walioadhibiwa kunyongwa hawakai na wafungwa wengine kabisa. Acha uongo mkuu!!
Labda niseme kitu, tujifunze kusema ukweli ili tusipotoshe watu hapa, Wafungwa wa Kunyongwa wana gereza lao maalumu ambalo hata mfungwa wa kifungo cha maisha haruhusiwi kuingia huko, huyu mnayemsema kawekwa huko ni Mahabusu bado, hawezi kuingizwa huko kwa namna yeyote ile, semeni ukweli kwaajili ya ustawi wa Taifa letu msiwape watu taharuki ambayo haipo na haiwezi kutokea.Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa.
Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na kwamba wanaweza hata kumnyonga.
Kwa kweli huu sio utu, kinyume cha haki za binadamu na kinyume cha katiba. Kwa katiba yetu, kila mtu anatakiwa kutafsiriwa kuwa huru mpaka atakapodhibitishwa na mahaka kuwa na kosa la kisheria.
Nchi ya Tanzania ni kwaajili ya watanzania wote.
Kwakweli watu tujitahidi kuwa wakweli, hakuna sababu ya kusema uongo ambao hata hauna faida yoyote kwa jamiiWewe ni muongo wa kupindukia kabisa. Kwanza Mahabusu hawachanganywi na wafungwa pia wafungwa walioadhibiwa kunyongwa hawakai na wafungwa wengine kabisa. Acha uongo mkuu!!
Rais ¼Kwa hiyo yeye hana nguvu km Raisi??.
Mungu ibariki CHADEMA... Tutashinda zaidi ya kushinda..! Pambazuko haliko mbali... Mwamba yuko imara zaidi ya janaPamoja na ukweli kwamba hakuna Mtu yeyote aliyehukumiwa kunyongwa na Mahakama za Tanzania ambaye atanyongwa , kutokana na "ucha mungu wa marais" wa nchi hii na kushindwa kusaini vifo vya waliohukumiwa kunyongwa , lakini binafsi sioni uhalali wowote wa Mahabusu kuchanganywa na Wafungwa .
Pamoja na ukweli kwamba lengo la Mamlaka kumchanganya Mbowe na waliohukumiwa kunyongwa ni mbinu ya kizamani na ya kishamba ya Kumtisha Mwamba Mbowe asiyetishika , lakini sioni uhalali wa Kisheria kwa Mahabusu kuchanganywa na Wafungwa , ni vema sheria za nchi zikaheshimiwa kidogo , hii ni kwa sababu WHAT GOES AROUND COMES AROUND .
Tunaomba Wanasheria waliopo hapa jf watutolee ufafanuzi wa Jambo hili