Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Hata kama wakimuweka huko lakini hawawezi kumnyonga, na wala hao wafungwa wengine nao hawawezi kunyongwa, labda Samia avunje rekodi za watangulizi wake, Mbowe wamuweke popote mwisho wa siku atatoka tu huko walipomuweka.
 
Kuna ushahidi au stori za kuchangamsha genge ?
 
Tatizo anadaije?

Hata mimi mwananchi wa kawaida sikupenda sauti ya kibabe wakati utulivu ungeweza kuwa na nguvu zaidi.Ajifunze kuacha dharau huyu jamaa
 
Huyu mama ndie alikuwa anamwambia meko fanya hivi Fanya vile sasa kashika usukani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…