Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Hata kama wakimuweka huko lakini hawawezi kumnyonga, na wala hao wafungwa wengine nao hawawezi kunyongwa, labda Samia avunje rekodi za watangulizi wake, Mbowe wamuweke popote mwisho wa siku atatoka tu huko walipomuweka.
Mkuu watu wananyongwa Sana.do research
 
Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.

-----------------------------------------------------

Anaandika Wakili Peter Madeleka

Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.

Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.

Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa

Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe

View attachment 1928334
Acheni mambo ya kijinga, mnazusha habari zingine ambazo haziwezi kuwa na ukweli wa aina yoyote.
Hivi ushawahi kuingia gerezani wewe ukajua utaratibu wa wafungwa wa kunyongwa unavyokuwa?

Huyo Kibatala aache kudharirisha taaluma yake, uende gerezani leo kuona mtu hata kama wewe ni wakili bado huwezi kujua mtu huyo analala selo ya aina gani.

Na hakuna kitu cha namna hiyo, mahabusu achanganywe na wafungwa wa kunyongwa achilia mbali wafungwa wa kawaida, haiwezekani na haitotokea.

Wakati vyama vya siasa mnapotafuta kuungwa mkono na wananchi mjue uongo kama huu unawafanya muonekane washenzi na wahuni tu

Sina chama sisapoti ccm wala chadema ila napenda haki.
 
Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.

-----------------------------------------------------

Anaandika Wakili Peter Madeleka

Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.

Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.

Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa

Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe

View attachment 1928334
Halafu Maza badala ya kushughulikia maswala yanayoweza kuleta mgogoro yeye yuko busy..... Trying to be a movie star. 🎥🎥🎥
 
Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.

-----------------------------------------------------

Anaandika Wakili Peter Madeleka

Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.

Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.

Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa

Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe

View attachment 1928334

Suala Mbowe si la kumwachia Mungu.

Kwa rangi halisi za SSH huyu ni wa kulala naye mbere!
 
Mkuu watu wananyongwa Sana.do research
Mnaifanya jamiiforums ionekane ni mtandao wa kihuni huni tu.

We unajua utaratibu wa mtu kunyongwa? Unajua kwamba mpaka DC anahusishwa? Acheni uzushi, sio lazima mpost ili mradi mpate likes
 
Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.

-----------------------------------------------------

Anaandika Wakili Peter Madeleka

Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.

Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.

Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa

Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe

View attachment 1928334

Yote haya ni kwa sababu imepangwa Freeman Mbowe LAZIMA AHUKUMIWE mvua kadhaa kama siyo kunyongwa bila kujali ana hatia au la....

Na hii ndiyo maana ya sarakasi zinazoendelea mahakamani kujaribu kupindisha sheria ili tu mtu afungwe...

Lakini zama hizi ni za UWAZI sana kuwa kila linalofanyika gizani, kesho yake linakuwa liko nuruni...

Mapambano yanaendelea mpaka wavuliwe nguo, wawe uchi kisha wachutame kuficha nyuso zao....!
 
Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.

-----------------------------------------------------

Anaandika Wakili Peter Madeleka

Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.

Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.

Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa

Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe

View attachment 1928334
Huyu bibi yenu sjui mmemtoa wapi ni ISIS au teleban huyu, hawezi kupenda makafir, iko siku hii nchi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Suala Mbowe si la kumwachia Mungu.

Kwa rangi halisi za SSH huyu ni wa kulala naye mbere!
Hapana, tukimwachia Mungu, maana yake tunakubali tuendelee kuumia na Mbowe aendelee kuumia...

Tuchukue hatua zote halali na za haki kulikataa hili na Mungu atatutia nguvu na ujasiri na kutulinda kudhuliwa na watesi wetu...

Mungu Yehova hutenda kwa kuwatumia wanadamu. Anatusubiri tuchukue hatua, tuingie vitani naye ataachilia nguvu zake za ushindi kwenye maamuzi sahihi yoyote tufanyayo....

Au umesahau kuwa imeandikwa "....imani bila matendo inakuwa imekufa...?"

Tuamini katika Mungu Muumba. Tufanye vitendo vya kuiondoa/kukataa situation yoyote tusiyoitaka tukiamini kuwa Mungu yuko upande wetu...

Kwa njia hii, TUTASHINDA na Mbowe atashinda...
 
Back
Top Bottom