Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu ulishapata ajira?Ulitaka gaidi akaambukize ugaidi wengine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulishapata ajira?Ulitaka gaidi akaambukize ugaidi wengine?
Sijawahi kutafutaMkuu ulishapata ajira?
Huna kamera ww ukaenda kupiga ukaweka hapa.
Mkuu watu wananyongwa Sana.do researchHata kama wakimuweka huko lakini hawawezi kumnyonga, na wala hao wafungwa wengine nao hawawezi kunyongwa, labda Samia avunje rekodi za watangulizi wake, Mbowe wamuweke popote mwisho wa siku atatoka tu huko walipomuweka.
Acheni mambo ya kijinga, mnazusha habari zingine ambazo haziwezi kuwa na ukweli wa aina yoyote.Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.
-----------------------------------------------------
Anaandika Wakili Peter Madeleka
Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.
Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.
Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa
Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe
View attachment 1928334
Halafu Maza badala ya kushughulikia maswala yanayoweza kuleta mgogoro yeye yuko busy..... Trying to be a movie star. 🎥🎥🎥Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.
-----------------------------------------------------
Anaandika Wakili Peter Madeleka
Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.
Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.
Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa
Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe
View attachment 1928334
Hii imenishtusha sana.

Mnaifanya jamiiforums ionekane ni mtandao wa kihuni huni tu.Mkuu watu wananyongwa Sana.do research

Atakuja tena mwingine, atafanya hivyohivyo..Atalipwa kama alivyolipwa Mwendazake.
Huyu bibi yenu sjui mmemtoa wapi ni ISIS au teleban huyu, hawezi kupenda makafir, iko siku hii nchi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.
-----------------------------------------------------
Anaandika Wakili Peter Madeleka
Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.
Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.
Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa
Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe
View attachment 1928334
Na huyu demu hana miaka miwiliWahusika wataondoka kama alivyoondoka Mwendazake.
Mwendazake alilipwa nini?Atalipwa kama alivyolipwa Mwendazake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo yamekuwa hayo?Huyu mama ndie alikuwa anamwambia meko fanya hivi Fanya vile sasa kashika usukani
Funga gaidi hiloYule RPC wa Kinondoni alimuahidi kuwa safari hatoki akiwa hai,hayo ni maandalizi ya kumuulia huko huko lazima kuna mtu kati ya hai wafungwa wanaosubiri kunyongwa ameshapewa assignment hiyo.
Huyo mkuu wa magereza ndiyo tatizo sio mama achen ujingaMama Lina roho mbaya lile, shetani ana afadhali
Hapana, tukimwachia Mungu, maana yake tunakubali tuendelee kuumia na Mbowe aendelee kuumia...Suala Mbowe si la kumwachia Mungu.
Kwa rangi halisi za SSH huyu ni wa kulala naye mbere!