Wakili Peter Madeleka umekuwa lini msafi hadi umfundishe Rais kazi?

Alichosema Peter Madeleka kina ukweli na kinapaswa kubadilika 100%, Madhambi aliyonayo hayafuti ukweli wote aliosema. Hata hivyo ni jasiri sana kusema yale aliyosema. Ingekuwa kipindi cha mwendazake sasa hivi angekuwa Cocobeach
Amekuwa sehemu ya kujenga system hiyo. Ila ameingia kwenye 18 analalamika. Polisi mara nyingine wanaonea sana watu. Tena kwa makosa ambayo hayana kichwa wala mguu. Kwanini kazi zao wasifanye ethically and reasonably?
Mwisho wa yote cheo ni dhamana. Kinapoondoka unabaki kuwa raia wa Tanzania. Inapotokea misukosuko, unahangaika kama wale uliwahangaisha bila sababu.
Ndio maana mtoa mada anamcheka. Anamcheka kwasababu mchimba kaburi, huingia kwanza mwenyewe.
Tujifunze na kubadilika. Tutende kazi zetu kwa weledi na bila uonezi. Tuijenge Tanzania. Hakuna shortcut kwenye haya maisha. Rushwa ina malipo yake, tena hapa hapa duniani
 
Umeacha kushughulika na issues alizoibua unaleta personal attack! Your too low!

Peter alikuwa polisi mdogo akitii mamlaka zilizo juu yake. Kwa nini unambebesha yeye kawama za jeshi la polisi?
 
Correct[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hata ile clip yake ukiiangalia na kumsikiliza huoni akigusia mifumo mingine zaidi ya kumsakama dpp tu
Anyways people change
Let's give him benefit of the doubt
Tuwekeeni hiyo clip na sisi tusikilize ili tuweze kutoa hukumu. Au ina copyright?
 
Umeacha kushughulika na issues alizoibua unaleta personal attack! Your too low!

Peter alikuwa polisi mdogo akitii mamlaka zilizo juu yake. Kwa nini unambebesha yeye kawama za jeshi la polisi?
Aliambiwa achukuwe cho chote na wakubwa wake? Angefanya sehemu yake kwa uadilifu angehukumiwa kwa uadilifu wake.
 
Badala ya kujibu hoja yake unamvamia yeye binafsi.sisi hatumtaki buswalo wala hata asishitakiwe atolewe serikalini mungu anajua cha kumfanya
 
Alichosema Peter Madeleka kina ukweli na kinapaswa kubadilika 100%, Madhambi aliyonayo hayafuti ukweli wote aliosema. Hata hivyo ni jasiri sana kusema yale aliyosema. Ingekuwa kipindi cha mwendazake sasa hivi angekuwa Cocobeach
Mleta mada badala ya kujadili hoja za wakili Peter amemshambulia yeye binafsi kwa tuhuma za upande mmoja,ambazo pengine zimetiwa chumvi. Hata kama ni za kweli,tatizo ni mfumo,ambao ndio wakili anaulalamikia.

Kwa hiyo,alichokisema wakili Peter ni matatizo ya kweli katika mifumo ambayo yanatakiwa kushughulikiwa!
 
Yaliyopita si ndwele alipokuwa Polisi alikuwa anatekeleza amri ya Serikali lakini leo yuko kwenye mhimili wa haki,tumsamehe kwa yaliyopita tushike hayo mazuri aliyo nayo kwa wakati huu,kumbuka Saulo kabla hajawa Paulo alikuwaje?(Matendo Sura ya 9)
[emoji106][emoji106]
 
Peter ni bonge la Artist

Tena kiwango cha Jigga


Tunaomfahamu huyu mtu wala hatujashtuka

Vikampuni fulani hivi vya magumashi, kilimo mara uwakili.

#Tbtpolisikota
 
Kaka wote ni mashetani wawili usimpunguzie mmoja
 
Hivi wakati huyu peter anakufanyieni hayo uliyosema mlikiua hamjui kua ni kinyume cha taratibu zake za kazi?.Au hakuna haki zenu zozote mlizokua mnazijua?.Je mlichukua hatua gani?.Kwasababu kama aliwafanyieni mabaya alafu mkaenda kukaa kimya kuja kulalamika hapa sasa hivi haina maana.kwasababu kukaa kwenu kimya kulifanya aendelee kuumiza wengine na kama kuna mambo mliyotakiwa muyachukulie hatua ili kupatikane mabadiliko ilishindikana.Mimi namuunga mkono peter kwasababu ata kama nayeye alikua mbaya ila kutoa kwake mapungufu yaliyopo kwenye ofisi za utoaji haki kafanya vizuri kwasababu kupitia yeye kunaweza kurekebisha baadhi ya mambo tofauti na angekaa kimya kama mlivyofanya nyie.Ifike mahali wananchi tujitambue na tutambue haki zetu,tupunguze ukondoo usio na maana na kulalamikia pembeni pale tunapoona kuna watu wanatumia mamlaka zao au ofisi za umma vibaya.Pole sana.
 
[emoji106][emoji817]
 
wakili yuko sahihi 100%
 
Umeacha kushughulika na issues alizoibua unaleta personal attack! Your too low!

Peter alikuwa polisi mdogo akitii mamlaka zilizo juu yake. Kwa nini unambebesha yeye kawama za jeshi la polisi?
Kwa hiyo DPP nae ajibu kuwa alikuwa anatii mamlaka zilizokuwa juu yake kwa nini abebeshwe lawama za awamu ya 5? Mjadala uwe umefika mwisho!!
 
Rufaa zinachukua miaka mpaka mitatu kusikilizwa kwa madai kuwa wanafanya uchambuzi wa kina pia rufaa ni nyingi. Waajiri wanatuma vielelezo kwa muda watakao wawo, unakuta inapita hata miezi 6 hawajawasilisha vielelezo ambavyo kisheria iliwapasa waviwasilishe ndani ya siku 14 tu toka walipoagizwa, TUME ipo tu.

Kwa kweli naunga mkono hoja, overhaul haikwepeki pale TUME, ndio njia pekee ya kuirekebisha
 
Umeacha kushughulika na issues alizoibua unaleta personal attack! Your too low!

Peter alikuwa polisi mdogo akitii mamlaka zilizo juu yake. Kwa nini unambebesha yeye kawama za jeshi la polisi?
Baada ya Madeleka kutoka Polisi alifungua kampuni yake ya UWAKILI. Halafu kumbuka Mrs Madeleka alikuwa ni Mtumishi wa IMMIGRATION Mkoa wa Arusha akiwa kitengo kinachohusiana na wahamiaji haramu.

Kesi zote ambazo Peter Madeleka alikuwa anashinda zilikuwa zinaharibiwa na mkewe ofsini. Na wahamiaji haramu wengi alikuwa anawasukuma kwa mumewe kwa ajili ya kutetewa mahakamani.

Hivyo Madeleka na mkewe walihujumu sana jeshi la Immigration Arusha hadi baadaye uongozi wa Makao Makuu ukagundua.

Kilichofuata ni mke wa Madeleka kuhamishwa kitua na hatimaye kuacha kazi Immigration.

Na hiyo ndiyo sababu kubwa ya bifu la Madeleka dhidi ya Makakkala, CG wa Immigration
 
Ukimtizama tu huyu bwana. Ni mla rushwa mzuri sna

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Now I know why! Kumbe wale wale! Kila mtu abebe furushi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…