Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

Bezecky

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
494
Reaction score
897
Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu

Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo.

Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei

IMG-20241223-WA0172.jpg
 
Mbowe analaana ya kukataa ushauri wa familia na kumsikiliza Boni Yai
Sio kweli ,ni haki yake , achani majungu,hajavunja katiba , atapigwa vizuri tu na mtashangaa akimkubatia mshindi huku akisema , makamanda mmenipelekea moto ,si mwamjua Mbowe alivyo na matani ya kitoto? MBOWE Sio mtu mbaya ,tusijichanganye.

Wajumbe mleteni lissu
 
Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu

Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo.

Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei

View attachment 3183345
Madeleka ndio "watu wengi?" Anapiga kura? Mwisho wa siku ndio mnakujaGA kuloloma eti mmeibiwa kura! KUMBAVU!!!
 
Uchaguzi ukiwa huru, Mbowe hashindi. Walio wengi ndani na nje ya CHADEMA wanamtaka Lissu. Nadhani hata yeye Mbowe anaingia mitandaoni na anajionea hali halisi.
Lazima mbinu zilizotumika kumuweka Askofu Malasusa na kumzuia Bagonza zitumike hizo hizo.
 
Back
Top Bottom