Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu

Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo.

Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei

View attachment 3183345
Simba kama simba ila sio Simba wa Yuda😅😅
 
Hii ya kutrmbea na risasi kiunoni halafu awe ni rais wa Tanzania what if risasi hiyo ni mabbobish ila ni chip ina mabeberu watakuwa wametuweza kwa amiri jeshi wetu mkuu
 
Back
Top Bottom