Hivi huyu Madeleka ameshinda kesi ngapi !.View attachment 3183345
Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei
Unamuuliza nani?Hivi huyu Madeleka ameshinda kesi ngapi !.
Hivi huyu Madeleka ameshinda kesi ngapi !.
huyu mhuni nani anamtaka?View attachment 3183345
Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei
Si bon yai, ni wafadhili wake wa Lumumba ndio wametoa maelekezo.Mbowe analaana ya kukataa ushauri wa familia na kumsikiliza Boni Yai
Sio kweli ,ni haki yake , achani majungu,hajavunja katiba , atapigwa vizuri tu na mtashangaa akimkubatia mshindi huku akisema , makamanda mmenipelekea moto ,si mwamjua Mbowe alivyo na matani ya kitoto? MBOWE Sio mtu mbaya ,tusijichanganye.Mbowe analaana ya kukataa ushauri wa familia na kumsikiliza Boni Yai
Hata kama Mwenyekiti katuvunja moyo bado hatuwezi ku risk kuacha kumuunga Mkono Mzalendo mwenzetu Tundu Lissu.View attachment 3183345
Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei
HahahahaMbowe analaana ya kukataa ushauri wa familia na kumsikiliza Boni Yai
Sio kwamba wametoa leo .....ni tangu zamani sema hatukujua tuSi bon yai, ni wafadhili wake wa Lumumba ndio wametoa maelekezo.
HahahaMwabukusi Slaa Mdude Lwaitama na wengine wengi wanamuunga mkono Lissu.
Boniyai Lumumba na Yericko ndo against Lissu.
Mwabukusi Slaa Mdude Lwaitama na wengine wengi wanamuunga mkono Lissu.
Boniyai Lumumba na Yericko ndo against Lissu
Madeleka ndio "watu wengi?" Anapiga kura? Mwisho wa siku ndio mnakujaGA kuloloma eti mmeibiwa kura! KUMBAVU!!!Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu
Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo.
Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu,
Vox Populi, Vox Dei
View attachment 3183345
Lazima mbinu zilizotumika kumuweka Askofu Malasusa na kumzuia Bagonza zitumike hizo hizo.Uchaguzi ukiwa huru, Mbowe hashindi. Walio wengi ndani na nje ya CHADEMA wanamtaka Lissu. Nadhani hata yeye Mbowe anaingia mitandaoni na anajionea hali halisi.
VIpi Mh Lema na Mh Heche?.Mwabukusi Slaa Mdude Lwaitama na wengine wengi wanamuunga mkono Lissu.
Boniyai Lumumba na Yericko ndo against Lissu.