Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

Naunga mkono hoja
P
 
Uchaguzi ukiwa huru, Mbowe hashindi. Walio wengi ndani na nje ya CHADEMA wanamtaka Lissu. Nadhani hata yeye Mbowe anaingia mitandaoni na anajionea hali halisi.

Siyo kweli wengi tunamtaka Mbowe hatutaki chama kifutwe au watu wafe kwa ukosefu wa busara.
Mitulinga haiwezi kuwa siasa ya maana mark my words mkuu
 
Uchaguzi ukiwa huru, Mbowe hashindi. Walio wengi ndani na nje ya CHADEMA wanamtaka Lissu. Nadhani hata yeye Mbowe anaingia mitandaoni na anajionea hali halisi.
Mkuu amini nakwambia Mbowe anatumiwa na CCM katika kugombea huo uenyekiti kumzuia Lissu. Hili limeliuma sana. CCM hawataishia hapo, watahakikisha anashinda hata iweje
 
Kama unaipenda nchi yetu, na mabadiliko ya kweli kwa vyama vya upinzani, lissu ndo jawabu sahihi, mbowe Hana jipya.Madeleka aungane na wapenda mabadiliko kumtafutia kura lissu
 
Siyo kweli wengi tunamtaka Mbowe hatutaki chama kifutwe au watu wafe kwa ukosefu wa busara.
Mitulinga haiwezi kuwa siasa ya maana mark my words mkuu
Haahaa mbowe yupi? Huyu aliyetawala miaka 20+ na Bado hatosheki?
 
Vita ni Kali sana
 
Safi Madeleke
 
Sahihi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…